Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
HahahahahahahaahahhaKumbe huyu chatu ni chambo tu wa kutangazia biashara yao.
HahahahahahahaahahhaKumbe huyu chatu ni chambo tu wa kutangazia biashara yao.
Hao wanaume wa pwani kongowe ona hata walivyobebana, loveImebidi nicheke tu love lakini wanaume wa dar ndio zao love🙄🙄🙄
Halafu tizama vizuri hao watu badala ya kumshangaa chatu aliyenyongwa wanamshangaa ailyebebwa kwa jinsi alivyo comfortable na smile kabisaTazama vidole vya mbebaji vimegusa wapi ?
![]()
Ndiyo madam mzima? NimekumissHahahhahahahaahhahahahaha![]()
Na kweli hii ndio ajabu zaidi ya huyo nyoka.Na yule mwanaume aliebebwa jamani![]()
Hapo Mwishoni sijaelewaKatika maeneo ya kongowe kijiji cha kipara mpakani chatu kashindwa kutembea kwa sababu kameza kenge pamoja na kopo la rangi la Lita nne njaa mpaka yoka
Mmepakatana tu hakuna lolote, huyo kenge na kopo mbona sivioni.
Kazi kubebana tu.
Watu mna maneno khaa!Mkuu ushoga unazidi kushamiri hapa nchiniNamuona huyo jamaa aliyepakatwa 😛😛
Hahahhahahahahaahhahahahahaha basi jamani msiwaseme sanaTazama vidole vya mbebaji vimegusa wapi ?
![]()
Mmefanya mtoa mada ajutie kuattach pichaNa kweli hii ndio ajabu zaidi ya huyo nyoka.
Me mzima umenimiss tena? KiajeNdiyo madam mzima? Nimekumiss
Basi nimekuelewa mpenzi wangu usilie sassHao wanaume wa pwani kongowe ona hata walivyobebana, love
Hahaha kikazi mkuuMe mzima umenimiss tena? Kiaje
Kikazi? SjaelewaHahaha kikazi mkuu
We si tunafanya kazi wote? Au umesahauKikazi? Sjaelewa
MhWe si tunafanya kazi wote? Au umesahau
Asante naona umeanza kuelewa
Nimeguna sielewiAsante naona umeanza kuelewa
Mimi nalia tena, sweetieBasi nimekuelewa mpenzi wangu usilie sass