Chatu katoa maajabu

Chatu katoa maajabu

Kwa jinsi alivyo tulia anaonekana ni mzoefu wa kuchezea chezea chatu wa mwenzie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani msinichekeshe
 
Huko siishi kabisa [emoji46][emoji46][emoji20]
 
e5269d9be30a528c705999ccb56f3969.jpg
Mbona huyo chatu yeye ndiye anayemezwa na kenge
 
Sasa si ni bora hata hao wanaume wa mkoani wamesimama jira na huyo chatu!!!!

Wangekuwa [emoji116][emoji116][emoji116] je?
tapatalk_1469605991815.jpeg
 
Katika maeneo ya kongowe kijiji cha kipara mpakani chatu kashindwa kutembea kwa sababu kameza kenge pamoja na kopo la rangi la Lita nne njaa mpaka yoka
UKITAKA KUONA VIDEO NENDA
FB : ANDIKA ,PONGWA MASIKU
YOUTUBE : ANDIKA, CHATU KUMEZA KOPO
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nimecheka

Wanaume wa dar wanapakatwa hahhahahaha na chatu kafa kupakatana huko kwa nini sasa
Huyo mwanaume wa pwani sio dar.
 
Back
Top Bottom