Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,091
- 34,897
Mamba mbona alikuwa bado kinda huyo,nadhani angekutana na mamba kama wapale mto kagera asingetoka chatu nadhani
Mamba mbona alikuwa bado kinda huyo,nadhani angekutana na mamba kama wapale mto kagera asingetoka chatu nadhani
mi naona kajitafutia maradhi tuhuyo chatu naye alikuwa na njaa sana,mamba na ligozi lake lile yeye kamla,huyo chatu kwa njaa yake hata ungempa mawe aina ya kokoto angekula tu!
Halafu huyo hawezi kuwa chatu..chatu si ana madoadoa..? au specie nyingine ya chatu wa Australia
Atakuwa mamba wa jamii ya "kibamia" huyo.
Halafu huyo hawezi kuwa chatu..chatu si ana madoadoa..? au specie nyingine ya chatu wa Australia
huyo chatu naye alikuwa na njaa sana,mamba na ligozi lake lile yeye kamla,huyo chatu kwa njaa yake hata ungempa mawe aina ya kokoto angekula tu!
inasemekana mamba huwa na nyongo yenye sumu kali kiasi kwamba akifia sehemu inabidi azikwe mbali,sasa je akiliwa na nyongo yake haina madhara kwa mlaji namaanisha huyo nyoka? au naye atakufa baadaye.
Sasa hapo itakuwaje maana nyongo ya mamba ni sumu kali sana, hata ukichinja mamba lazima uliport police wake wachukue nyongo.
Nyoka huwa ana kawaida ya kumeza halafu digestive juices zinafanya kazi ya kumeng'enya alichomeza...
Umejiuliza tu habari ya ngozi lakini mbona hujauliza habari ya mifupa?