Chato na Ruangwa Inaweza Kuwa Mikoa Mipya?

Kweli kabisa watu ni wengi Chato ndiyomaana Punda wanatumia traffic lights.
2a2a9dcd748f2d41e7cc86733ce7bc3e.jpg
Funny, punda wa Chato wana traffic lights!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kusema fyoko ni zamu ya kanda maarum!! Kila rahisi akifanya ukabila huu na upendeleo namna hii nchi t safari ndefuu sanaa kwenye uzalendo!!!! Unaweka mpwa ili mkwapue vizuriii!!


Rahis wa kanda maarum. Hapa lazima darasa bakora
 
Ruangwa ilikuwa tarafa chini ya Wilaya ya Lindi, kama ni kuendelea bado sana. Population ya mji haifiki 10,000. So bado sana.

Magufuli ni mkabila toka alipokuwa waziri, alimpa nyumba ya serikali mdogo wake ambaye hakuwa mtumishi wa umma.
Na walioachishwa kazi B.O.T?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ruangwa ilikuwa tarafa chini ya Wilaya ya Lindi, kama ni kuendelea bado sana. Population ya mji haifiki 10,000. So bado sana.

Magufuli ni mkabila toka alipokuwa waziri, alimpa nyumba ya serikali mdogo wake ambaye hakuwa mtumishi wa umma.
Ruangwa haikua chini ya wilaya ya Lindi,Ruangwa ilikuwa chini ya Wilaya ya Nachingwea.
Population yake ni kweli ndogo sana

May Allah bless Me and You
 
Chato kutokana na sifa yake ya kumtoa mtakatifu sana "mungu" asiyejaribiwa inaweza hata kupewa hadhi ya mji maarufu Tanzania na Koromije kwa kumtoa msaidizi wa "mungu" asiyejaribiwa na "mungu" wa Dsm, inaweza kupata hadhi ya makao makuu ya chama chao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe mtuma post ni mbinafsi sana. Pia lazima ujue mikoa kama Kilimanjaro, Arusha na Kagera ilipata maendeleo muda mrefu sana. Mikoa hii ya kusini iliminywa sana kimaendeleo, tena kwa makusudi mazima. Ili kwa sababu waliopewa dhamana kipindi hicho mikoa yao haswa hii mitatu niliyoitaja

Kitu ambacho unapaswa kujua ni kwamba hii keki ya taifa ni kwa ajili ya watanzania wote wala sio kwa ajili mikoa hiya mitatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili andiko iko siku litakuja kutumika kufundishia darasani , nimestuka .

Maana wataleta hoja kwamba , kama chato pana uwanja wa ndege , pana ofisi ya TRA Kwanini usiwe mkoa ?

Wanaosema ndioooooo waseme !
 
  • Thanks
Reactions: SDG
JF Kwenu.
Kuna mambo yanashangaza sana kwenye awamu hii. Miradi mingi inaonekana kufanywa bila feasibility study,bajeti,ulazima wala kutangazwa tenda.

Hivi kuna haja ya kujenga airport Chato?Kuna haja ya traffic lights kijijini? Nimefika huko.Nimefika pia Bukoba, hakuna taa za barabarani kwa kuwa hakuna msururu wa magari.Ofisi ya TRA Chato!Katoro pamechangamka kibiashara kuliko Chato. Msd shop!Au ni zile pesa za kuahirisha sherehe za 9 Desemba na nyinginezo?

Maajabu hayaishi. Ruangwa kwa Waziri Mkuu wamezindua duka la Msd.Amezindua Premier mwenyewe.Eti litahudumia Wilaya za Liwale, Kilwa na Nachingwea. Sababu? Ruangwa iko katikati. Kumbuka maduka mengine ya Medical Stores Department yako kwenye mikoa mikubwa/yenye watu wengi:Dar es Salaam,Arusha, Mwanza na Mbeya.
Ikiwa Chato na Ruangwa ni mikoa mipya basis tujulishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruangwa unapafahamu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ruangwa naombea Sana Iwe Mkoa, Katika wilaya ambazo zilisahaulika ni pamoja na Ruangwa, Ahsante Mh Majaliwa Mimi Siyo CCM Ila jitihada zako Katika Jimbo lako tunaziona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Viongozi wengi wa ccm wanafahamu kwamba chama chao kimebakiwa na miaka mitatu tu kuongoza Tanzania ( liwake jua au inyeshe mvua ) , kwahiyo wanashindana kufa na kupona kujipendelea .
Leo mmekuja na "liwake jua inyeshe mvua " ..........kale ka kauli mbiu kenu ka "afe kipa afe beki" kameishia wapi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hii mikoa inayojiona imeendelea ni kutokana na kutoa viongozi wengi toka uhuru, hivyo keki ya Taifa kuliwa upande.

Naamini Utawala wa Magufuli utajali sana ile mikoa maskini.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom