WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,067
- 825
Unajua wilaya ya Ruangwa ni kubwa kuliko MKOA wa Kilimanjaro? Unajua mkoa wa Geita una WATU wengi kuliko Mkoa wa Kilimanjaro? And yet hawana airport hawana High School hawana referral hospital. Kwa nini nao wasifaidi matunda ya maendeleo kuliko wenzao wa Kilimanjaro? Kuna ubaya gani kujenga airport Chato wakati Arusha Airport ilijengwa pua na mdomo na KIA wakati Waziri Mkuu alikuwa ni mtu wa huko na Waziri wa Miundombinu alikuwa ni mtu wa huko na Waziri wa Fedha alikuwa ni wa huko? Iweje Tundulissu hakulalamika eti kuna Ukanda? Mbona watu wa huko hawaipendi sasa CCM pamoja na kuwaletea maendeleo yote hayo? Mnafikiri Watz hawaoni?
Bill Marconi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bill Marconi
Sent using Jamii Forums mobile app