Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

Nyumba ya kawaida sana ...hata rangi za ukutani zimechubuka.
Ni maisha yetu ya watanzania wa kawaida...lipo la kujifunza hapa

Lakini B 39 katenga kwa ajili ya airport ni uleule tu ng'ombe 1000 halafu mtu analalia ngozi, ila kina sundi wamechukua nyumba za serikali itakuwa culture.
 
Don't believe anything you see! Mimi nimefika pale, kuna kasri za kutosha plus kanisa kubwa ndani yake! Ni pazuri sana!
paliboreshwa baada ya kupitishwa kama mpeperusha bendera wa ccm kwenye kinyang'anyiro cha uraisi wa JMT;lakini kabla ya hapo palikuwa na hadhi ya kawaida.ila kwa kifupi jamaa ana maisha ya kawaida sana hata ndugu zake wanaishi maisha ya kawaida.Hata guest zake nizijuazo tokea 2005,kipindi hicho chato hamna hata bodaboda zilikuwa za kawaida sana.
 
Hivi nini sababu ya hii picha kuonyeshwa because this is private life
hii pichwa imepigwa kwa ajili ya kuwahadaa wananchi kwamba Rais ni mtu wa kawaida. jiulize mbona hajapiga kwenye maghorofa yake hapo chato.
Hapa nzi wa kijani watakurupuka sana..
 
Tatizo lako hujui kusoma comment yenye quote!

Nimejibu nilicho quote, rudi kasome uelewe na Kama uelewa wako Mdogo Mpe Mumeo akutafsirie, Mie Mke wangu huwa namtafsiria
Nzi wa kijani hamna adabu kwa wakubwa zenu.
 
Nyumba ya kawaida sana ...hata rangi za ukutani zimechubuka.
Ni maisha yetu ya watanzania wa kawaida...lipo la kujifunza hapa
Unajiaminisha pumba, hivi huunganishi doti kwanini bashite anautajiri wa ghafla na ndiye kipenzi chake. Je hawapo pamoja? Au unadhani ni mshamba ya pa unyeo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom