ChatGpt special thread

ChatGpt special thread

Mchoyo uyu jamaa
 

Attachments

  • Screenshot_20250710-151300.jpg
    Screenshot_20250710-151300.jpg
    164.5 KB · Views: 14
Toeni elimu na sisi tusiojua nyuma wala mbele kuihusu tujifunze namna ya kuitumia.
ChatGpt ni app ya kuchati inayotumia akili bandia ya kubuni(AI).

Kuipata app hii nenda play store Tafuta neno chatgpt kisha install.
Kwa simu za apple na nyingine sijui namna ya ku download app hii.

Ukisha pata Fanya kuifungua na sign up akaunti yako anza kuchati.


Unaweza kuchati chochote upendacho .
 
Back
Top Bottom