ChatGpt special thread

ChatGpt special thread

Uzi huu ni kwa ajili ya kushare chats na screenshot za chatgpt sessions.

Haya tuanze kazi!
 
ChatGpt ni app ya kuchati inayotumia akili bandia ya kubuni(AI).

Kuipata app hii nenda play store Tafuta neno chatgpt kisha install.
Kwa simu za apple na nyingine sijui namna ya ku download app hii.

Ukisha pata Fanya kuifungua na sign up akaunti yako anza kuchati.


Unaweza kuchati chochote upendacho .
Kwa hiyo hii ni ku-chat tu nikiwa idle haiwezi kunifafanulia kitu in case nikawa mvivu kusoma Google?
 
6B156A57-6948-4CA9-9B2D-9DF35862D501.jpeg
 
Nini kirefu cha gpt?
ChatGPT

Chat Generative Pre-trained Transformer

Maelezo ya kila sehemu:
  • Chat: Maongezi au mazungumzo ya kawaida (inayomaanisha mfumo unaweza kuzungumza kama binadamu).
  • Generative: Mfumo unaoweza kuzalisha maandishi mapya (haukopi tu, bali hutunga).
  • Pre-trained: Umefundishwa mapema kwa kutumia maneno kutoka vyanzo mbalimbali kabla ya kutumiwa na watumiaji.
  • Transformer: Aina ya usanifu wa akili bandia ulioanzishwa na Google (2017), unaowezesha kompyuta kuelewa lugha ya binadamu kwa undani mkubwa.
Kwa mujibu wa ChatGPT yenyewe!
 
Inalemaza inaua ubunifu.. Unakuwa na maarifa feki
Kumbe? Umesema kweli kaka.
Ngoja nipunguze kutumia nisije kuwa zuzu.

Je unafikiri app kama chatgpt Zina malengo mabaya kwa watu? Mfano kupunguza ku
Dada najua ni mcha mungu wewe,ila mimi nimepoteza Imani kwa sababu ya shida na matatizo ya Dunia.Aisee nimekata tamaa ya kuwa mwema .

Watu waovu sana ,wameniumiza sana na bado wanaabudu mungu.
 
ChatGPT



Chat Generative Pre-trained Transformer

Maelezo ya kila sehemu:
  • Chat: Maongezi au mazungumzo ya kawaida (inayomaanisha mfumo unaweza kuzungumza kama binadamu).
  • Generative: Mfumo unaoweza kuzalisha maandishi mapya (haukopi tu, bali hutunga).
  • Pre-trained: Umefundishwa mapema kwa kutumia maneno kutoka vyanzo mbalimbali kabla ya kutumiwa na watumiaji.
  • Transformer: Aina ya usanifu wa akili bandia ulioanzishwa na Google (2017), unaowezesha kompyuta kuelewa lugha ya binadamu kwa undani mkubwa.
Umeeleza vizuri.ahsante kwa jawabu lako.
Japo najua ni copy and paste from chatgpt itself
 
Self creativity and most of readings .. Chat pt inalemaza ubunifu
Artificial Intelligence haziondoi creativity bali zinamfanya mtu anaependa kujifunza kuwa creative zaidi kwa kujiongezea maarifa juu ya skills ambazo tayari ana ujuzi nazo, ni ngumu mtu kuanza kujifunza skills fulani from the scratch kupitia GPT na kadhalika,.. ila mtu kama tayari ana ujuzi basi creativity itaongezeka zaidi kama atatumia AI vizuri.

Kwa mfano chukulia Mtu ambae anafanya data analysis kwa software kama STATA au Ms Excel hizo software zina mambo mengi kiasi ambacho ni ngumu mtu kusema anaweza kuzitumia kwa 100% kila unavyozidi kutumia ndiyo unakutana na case mpya so kuliko kwenda kufanya mafunzo upya ambapo itakugharimu pesa na muda ni bora utumie AI ikupe solution chap.
 
Back
Top Bottom