ChatGpt special thread

ChatGpt special thread

Ipi yenye akili zaidi kati ya zote utumiazo? Mimi yangu chatgpt!
Bing
Chatgpt inazidiwa kwenye details na copilot au kwenye bing
B0CF012E-8831-456F-A0E7-F56CE3D36575.jpeg
DA56A4D0-A310-4CB2-9340-AD0C7F047D56.jpeg
 
sasa nikikopa nishindwe kulipa je,na ayo maujanja yasifanikiwe,bora nife njaa
Hspana ukishakula unapata akili, huwezi ukawa na akili ukiwa na njaa, amekushauri vizuri kabisa
 
Uzi huu ni kwa ajili ya kushare chats na screenshot za chatgpt sessions.

Haya tuanze kazi!
Siwezi kutumia hiyo kwasbb najua ni mawazo ya watu walio programed na kuwekwa kwenye robot, kwa nini nitumie akili za wengine wakati nina akili zangu timamu?
 
Nimebadili simu nimeidownload upya lkn haikubali kufunguka,akili yangu haifanyi kazi nimechanganyikiwa
 
Members please mwenye link ya chartGpt ya whatup tafadhali nime poteza simu yangu na kupoteza ya whatup link yake tafadhali, mwenye kua nao.
 
Bei ya GPTChat 5 pro. Nimepata kwa $6. Kwa mwezi ila kabla ya hapo niliwahi lipia $20 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom