Aliniomba simu ampigie classmate wake, alikua amesahau kitabu shuleni kwa hiyo alikua anawasiliana na wenzake wampigie picha page za homework, sasa nikamsema sana nikataka kumzibua kwamba kwa nini amesahau kitabu shuleni, then nikapa simu, ndio nikakuta anamuuliza chatgtp kwa nini mama ana hasira sana
Siku nyingine nikakuta anamuuliza eti niende shule gani form one?