Chatgpt kiboko ase

Haha! hilo dude unavyolizowesha kuchati nalo ndivyo linavyokupeleka liwekee mipaka kama hautaki likuchatishe katika namna hiyo!, lichukulie tu kama dude la kukuletea taarifa na sio kama kuchati na rafiki yako!, ukiweza kulitumia vyema hata hautaweza kujibiwa hivyo tena ukizubaa linakushinda hata utashi muda mwengine huboronga nakutoa taarifa zisizo!..

Mimi nililikanya na nachati nalo nakuliuza maswali na linajibu kwa adabu!, hilo umelizoesha wewe utakavyolipeleka linakuja hivyohivyo isipokuwa halitukani japo muda mwengine linamatani na linatunza kumbukumbu ya chat zako linakusoma!!.
ukilikataza lisiandike hivyo linaacha..

Wabongo wenzangu tumieni hilo dude kwamanufaa kama unaona hauwezi achana nalo!..😅
 
Hapo sawa ila na mtafuta kama sina jambo
 
Ndio tujue whites are a million years ahead of us. Imagine unachat na robot ila linakupa majibu top notch, majibu ambayo hata akili ya binadamu haiwezi kukupa.

Hivi vitu huwa vinanifikirisha sana.
 
Ndio tujue whites are a million years ahead of us. Imagine unachat na robot ila linakupa majibu top notch, majibu ambayo hata akili ya binadamu haiwezi kukupa.

Hivi vitu huwa vinanifikirisha sana.
Dah acha tu leo kani shangaza sana 😂
 
Hapo sawa ila na mtafuta kama sina jambo
Hapo ndipo unapokosea unatakiwa ulitafute hilo dude kama unajambo tena la maana!, nisiwafiche kwenye kukupa taarifa hilo dude lipo vizuri mno nashangaa wanaolichatisha kama libinadamu!, huwezi hata kutoka nalo hilo na lipo kwaajili yakujibu maswali unayotaka majibu
 
Wabongo si una tujua
 
U have to have a brain to be brainwashed....wew unayo kwanza iyo brain?
concept imeeleweka mkuu --- ni kawaida yetu waafrica kuwalaumu wazungu - hizi AI baada ya miaka 50 utasikia tu malalamiko

professa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…