utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Mshaanza na conspiracy zenu kama mlivyotaka jamii ikuaminini kuhusu Zitto kwendeni huko kama ni Jasusi kimpango wake kama yeye ni Zuhura sasa kuna ana ajabu gani akiitwa Mary sasa. Halafu mnafurahisha mnadai alishiriki katika kumuua John Garang halafu kaja CCM na kuwa diwani!!!! yaani hata kuitengeneza habari ikae vizuri umeshindwa .
Nyege tu zinamsumbua! Hajapata wa kumshughulikia
duh!
mwanangu umeniwahi.
uhatari wake sijauona. kwa mtazamo wangu ni kuwa hana hata elimu kama Tambwe hiza.
.....
Ni aibu cham kinapisha matamko kila kukicha inamaaana hapo tayari chama kina mgawanyiko mkubwa sana ila wanajifanya hawauoni ila siku ikifika wasije kimbia
NILIKUWA NAFUATILIA MAELEZO YAKO HAPA MARA KWA MARA NIKAJUA LABDA UNA AKILI KIDOGO KUMBE NILIKUWA NAKOSEA SANA,
SIKILIZA JASUSI NI JASUSI ANAWEZA AMUA KUWA CHIZI KWA MIAKA MINANE ILI TUU AlIPUE UBALOZI WA MAREKANI HAPA,HAIJALISHI NAFASI ALIYO NAYO ISSUE NI NANI,TANGA HAWAMJUI VIZURI,ARUSHA HAJULIKANI KABISA,SUDANI KUSINI KATIKA JIMBO LA WARRAP ZUHURA AKBARI HAJI ANAJULIKANA SANA NA HUYU INASEMEKANA NDIO MARRY CHATANDA
Ndie anae wapa kiburi CCM Arusha, hivi unataka uniambie mbunge Januari anaweza ingia kwenye kikao cha Halmashauri ya Mwanza?
utayaweza lakini? au unalialia humu. likianzishwa wewe ndo wa kwanza kubeba godoro kwenda nchi jirani.Nyie subirini tu .Makamba atakuja kumchukua kwa majonzi.
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madaraka, heri kulewa bangi itakuwehusha mwenyew lakini ulevi wa madaraka ni hatari kwa usalama wa raia namali zao kama ilivyotokea hukoArusha,huyu pashkuna Mary Chatanda amefika gatua mbaya mno. NGOMA IKILIA SANA KARIBU ITAPASUKA
Sasa kwanini wewe unayejifanya kumjua vema huyo Mary Chatanda usiweke CV yake hapa badala ya kumkosoa mtoa mada?How on earth would you brand a story a conspirancy theory when you do not any facts to disqualify its worthness?