Chata kali ya jezi au viatu vya michezo

Kuna makampuni makubwa yanakuja na yanaweza kuwapiku soon kama umbro, Under Armour, na wenzao katika level yao kama Puma, Reebok, Asics, DKS, Sketchers, Converse na nyingine
Hayo makampuni yanakuja kutoka wapi? Wkt yalikuwepo miaka mingi tu ila ushindani wa kibiashara uliwashinda ndio sababu adidas na Nike mpaka leo wapo juu.... labda kampuni ngeni Kati ya ulizozitaja ni ander armour, na sketchers lakini pia wala hazina ugeni wa hivyo
 
Kelme, Sportpesa, Taifa Gas ltd, Quality Group, Uhai, Azam Group, Acacia Mining Plc, NMB Bank, Equity Bank, TPB Bank Plc, CRDB Bank Plc, GF Truck, Azam media Group, Jambo, Asas Group, Olympic Oil, KCB Bank, Vodacom, Airtel, Kilimanjaro, Serengeti, MeTL Group, YARA, Puma Oli, DTB Bank, Oryx Gas, Macron, Continential BF Goodrich, Clouds Media, Star Times, Superdoll, VARTA nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom