CHASO Dar es Salaam: Taarifa kwa umma

GJHariohay

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
1,041
1,160
Uongozi wa CHASO mkoa wa Dar es salaam Leo jumatatu ya tarehe 22/8/2016,unapenda kutoa kauli na msimamo wetu juu ya mambo yafuatayo.

1.Tamko la UVCCM kuhusu kufanya mikutano na maandamano nchi nzima kumpongeza rais kwa utendaji wake,CHASO tunaona tamko la UVCCM kama kichekesho na ndoto zisizoweza kutimia kwa sababu CCM hawana vijana wa kufanya maandamano nchi nzima na hawana historia hiyo,na hii inasababishwa na CCM kutokua na nguvu ya ushawishi kwa vijana hivo kiufupi maandamano hayo hayajawai kuwepo na hayawezi kuepo.

Pia CHASO tunalishangaa genge hili lisilokua na ushawishi wala uungwaji mkono toka kwa vijana kuanza kudandia hoja na mipango ya CHADEMA ya kufanya maandamano na mikutano ya hadhara nchi nzima,Hii ni hatari sana kwao maana wasishangae watakapopigwa bakora mitaani kutokana na hali ngumu ya maisha kwa watanzania,hivyo "wasiwajaribu watanzania maana hawatakubali kujaribiwa"

2.Ushiriki wa Wana CHASO katika operation UKUTA kuanzia September 1.

Sheria ya vyama vya siasa Na.5 ya 1992.KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007.

Sehemu ya pili.

Haki ya chama.
Lakini pia sehemu ya tatu, 5.wajibu wa chama (e) na (f).CHASO kwa sheria hiyo tunapenda kuendelea na msimamo wetu wa kuunga mkono operation hii kwa nguvu zetu zote na hatutarudi nyuma katika movement hii,tutaidai haki hii hadharani bila kificho,na uongozi unawasihi wanachaso popote mlipo kufika katika ofisi za chama zilizopo karibu na kutoa ushirikiano.

CHASO tunatoa wito kwa wasomi wote nchi nzima kuungana siku ya tarehe 1/9/2016 kupinga ubakwaji huu wa DEMOKRASIA na uvunjaji wa KATIBA ya Nchi unaofanywa na Rais Magufuli na vibaraka wake wote huku wakivitumia vyombo vya dola.

Tunawataka UVCCM kuzungumzia hali ngumu ya maisha kwa sasa mitaani,Wanafunzi kutopewa hela za mafunzo kwa vitendo mpaka sasa,Bei ya Sukari kuwa juu,Biashara kudorora kutokana hali ngumu ya maisha,Wamachinga na Bodaboda kuendelea kuteseka ndani ya nchi yao,Serikali kushindwa kuajiri wala kutengeneza vyanzo vya ajira.
Tunawataka UVCCM kutuonesha ni KIWANDA gani mpaka leo imekwisha zinduliwa na Mh. Rais kama ilivyo kipaumbele chake.

Mwisho.
Tunawapongeza Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu bila kujali itikadi zao, dini wala ukanda kwa kuendelea kuunga mkono Operation UKUTA kwa mustakabali mwema wa nchi yetu.

Tunatoa wito kwa vyombo vyetu vya Dola kuona umuhimu wa Operation UKUTA,wao wanajua umuhimu wa kuheshimu utawala wa Katiba na Sheria,pia wameapa kuilinda KATIBA ya nchi. Tunaomba vyombo vya Dola kutoa ushirikiano ili kufanikisha Operation UKUTA.

AHSANTENI

CHASO , chanzo cha fikra bora.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI CHADEMA.

TUKUTANE SEPTEMBER 1, 2016#UKUTA
 
Hapa ndo utaona kati ya vijana wa Chadema na CCM wapi wenye akili..hawa vijana wanajitambua hakika mana wanagusia panapouma..sasa vijana eti tuandaa mikutano ya kumpongeza Rais kwa utumbuaji majipu...baada ya kutumbua mwananchi wa kawaida amenufaika na nini kipaombele chako ni kipi katika kuwakwamua wananchi wa hali ya chini au ni kuwaahidi kuwafikisha nchi ya maziwa na asali ilihali nchi ya chai ambayo haina sukari hawajavuka
 
Uvccm ni vichwa tupu

Hao uvccm wanataka kumpongeza rais ambaye ameirudisha nchi miaka 50 nyuma?

Wanampongeza kwa kusababisha vijana maelfu kwa maelfu kupoteza ajira kutokana na utendaji wake mbovu?

Maccm hawana vijana na hawajawahi kuwa na vijana
 
Uongozi wa CHASO mkoa wa Dar es salaam Leo jumatatu ya tarehe 22/8/2016,unapenda kutoa kauli na msimamo wetu juu ya mambo yafuatayo.

1.Tamko la UVCCM kuhusu kufanya mikutano na maandamano nchi nzima kumpongeza rais kwa utendaji wake,CHASO tunaona tamko la UVCCM kama kichekesho na ndoto zisizoweza kutimia kwa sababu CCM hawana vijana wa kufanya maandamano nchi nzima na hawana historia hiyo,na hii inasababishwa na CCM kutokua na nguvu ya ushawishi kwa vijana hivo kiufupi maandamano hayo hayajawai kuwepo na hayawezi kuepo.

Pia CHASO tunalishangaa genge hili lisilokua na ushawishi wala uungwaji mkono toka kwa vijana kuanza kudandia hoja na mipango ya CHADEMA ya kufanya maandamano na mikutano ya hadhara nchi nzima,Hii ni hatari sana kwao maana wasishangae watakapopigwa bakora mitaani kutokana na hali ngumu ya maisha kwa watanzania,hivyo "wasiwajaribu watanzania maana hawatakubali kujaribiwa"

2.Ushiriki wa Wana CHASO katika operation UKUTA kuanzia September 1.

Sheria ya vyama vya siasa Na.5 ya 1992.KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007.
Sehemu ya pili.
Haki ya chama.
Lakini pia sehemu ya tatu,5.wajibu wa chama (e) na (f).CHASO kwa sheria hiyo tunapenda kuendelea na msimamo wetu wa kuunga mkono operation hii kwa nguvu zetu zote na hatutarudi nyuma katika movement hii,tutaidai haki hii hadharani bila kificho,na uongozi unawasihi wanachaso popote mlipo kufika katika ofisi za chama zilizopo karibu na kutoa ushirikiano.

CHASO tunatoa wito kwa wasomi wote nchi nzima kuungana siku ya tarehe 1/9/2016 kupinga ubakwaji huu wa DEMOKRASIA na uvunjaji wa KATIBA ya Nchi unaofanywa na Rais Magufuli na vibaraka wake wote huku wakivitumia vyombo vya dola.

Tunawataka UVCCM kuzungumzia hali ngumu ya maisha kwa sasa mitaani,Wanafunzi kutopewa hela za mafunzo kwa vitendo mpaka sasa,Bei ya Sukari kuwa juu,Biashara kudorora kutokana hali ngumu ya maisha,Wamachinga na Bodaboda kuendelea kuteseka ndani ya nchi yao,Serikali kushindwa kuajiri wala kutengeneza vyanzo vya ajira.
Tunawataka UVCCM kutuonesha ni KIWANDA gani mpaka leo imekwisha zinduliwa na Mh. Rais kama ilivyo kipaumbele chake.

Mwisho.
Tunawapongeza Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi yetu bila kujali itikadi zao,Dini wala Ukanda kwa kuendelea kuunga mkono Operation UKUTA kwa mustakabali mwema wa Nchi yetu.

Tunatoa wito kwa vyombo vyetu vya Dola kuona umuhimu wa Operation UKUTA,wao wanajua umuhimu wa kuheshimu utawala wa Katiba na Sheria,pia wameapa kuilinda KATIBA ya nchi. Tunaomba vyombo vya Dola kutoa ushirikiano ili kufanikisha Operation UKUTA.

AHSANTENI

CHASO , chanzo cha fikra bora.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI CHADEMA.

TUKUTANE SEPTEMBER 1, 2016#UKUTA
Hii habari imeandaliwa na sekeretari au umoja
Mtoa taarifa kamiliaha barua yako kwa jina muhuli pamoja na walioshiriki vinginevyo ni habari ya kuandaliwa na sekretari
 
Mmmmh kwani mafanikio ya Maandamano na Mikutano siku hiyo yataleta mabadiliko gani katika Serikali hii ya Magu? nisaidieni kuwa, baada ya mikutano, masuala kadhaa yatakayokuwa yameiseti serikali ya Magu ktk mstari tunaotaka!
 
Hapa ndo utaona kati ya vijana wa Chadema na CCM wapi wenye akili..hawa vijana wanajitambua hakika mana wanagusia panapouma..sasa vijana eti tuandaa mikutano ya kumpongeza Rais kwa utumbuaji majipu...baada ya kutumbua mwananchi wa kawaida amenufaika na nini kipaombele chako ni kipi katika kuwakwamua wananchi wa hali ya chini au ni kuwaahidi kuwafikisha nchi ya maziwa na asali ilihali nchi ya chai ambayo haina sukari hawajavuka
Hata biblia imeweka wazi kuhusu hili .. "Heri vijana maskini wenye nguvu, kuliko Wazee matajiri wapumbavu"
 
Hawa vijana wapo smart sn ktk maandishi na matamko yao,sijui nani anawafundisha?
Mkuu ukizungumzia wasomi ndio kama hao. UVCCM ni waganga njaa wote. Kule huwezi kumkuta kijana anaejielewa hata mmoja. Labda Bashe kidogo
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom