Hivi ni lini CCM kukawa na vijana. Au Katambi, Mwita, Bulaya, Mnyika, Mdee, Jacob, Silinde, Mwakajoka, Sugu, Gekul, Suzan, Lijualikali, Devota, Lema, Nassari, Mtatiro, Kishoa na wengine wengi wapo CCM? Maana hao ndio vijana tunaowajua nchini. Acheni utani jamani. AU Jaah people, Maji marefu, Lameck, Maghembe wamerudi ujanani? maana hao ndio wana CCM tuwajuao.