CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,464
wote wa jukwaa la Ujasiriamali, nichukue fursa hii kuwatakia kila la heri katika sikukuu ya Mwaka mpya na sikuu ya Krismasi.
Katika safari ya Ujasirimali kuna Changamoto nyingi sana tena mno, na si safari ya kitoto hata siku moja, inahitaji uvumilivu wa kipekee kabisa, Ujasiriamali una changamoto nyingi sana ambazo usipokuwa na uvumilivu inakuwa ni taabu sana, mara nyingi theory tunazo soma ni tofauti kabisa na uhalisia wa mambo yalivyo.
Ninacho weza kusema ni kwamba, tunatakiwa kupambana kufa na kupona na si kupambana kwa kitoto, ujasiriamali ni vita ambayo bila kugangamara ni lazima ushindwe, Sisi tuna fursa ya kufanikiwa lakini ni lazima tupambane, ni lazima tuende na wakati, ni lazima tujaribu kuiota kesho itakuwa vipi.
Changamoto kubwa inayo tukabili ni Sapoti, ila basi kama hatuna sapoti ya Gavament sio sababu ya sisi kukata tamaa, ni lazima kwa mfumo huu huu mbaya na mazingira haya haya tupambane kutoka, kwa sababu hata wakati wa vita kuu ya kwanza na ya pili ya Dunia kuna wajasiriamali walianzia hapo, pamoja na mazingira ya vita still watu waliweza kusavive katika ujasirimali, so why sisi?
Katika mazingira magumu kama haya tupambane na siku mazingira yatapokuwa mazuri yatukute tayari tuko kwenye game, na kamwe tusisubiri mazingira yawe rafiki ndo tuingie kwenye game. Wavumbuzi wengi walivumbua vitu vyao katika mazingira magumu sana, na hata ulaya na America si kwamba ilianza na mazingira mazur, no mazingira yaliwakuta so hata sisi ni lazima mazingira yatukute kwenye game na sio sisi tuyakute.
Katika biashara kuna challenge nyingi sana, kwa sasa kubwa kuliko yote ikiwa ni ushindani mkubwa hasa kutoka nje na gharama kubwa sana, ila ni lazima tuwekeze kwenye utafiti wa kupunguza gharama, kila mtu na biashara yake anatakiwa aumize kichwa kufikiria ni vipi anaweza punguza gharama ili aweze kusavaivu kwenye biashara? Kwa trend ilivyo, tusitarajie kwamba kuna siku kutakuwa na mteremko, no.
Ushindani uko kila mahali duniani, na ukipewa story za Wachina kwa wachina unaweza ona kwamba sisi huku tuna raha, hivyo ushindani ndo sehemu ya wewe kupambana na kutoka. Tunaweza fanikiwa kushawishi Serikali kuzuia baadhi ya bidhaa zisiingie Tanzania ili kulinda bidhaa za ndani , Je Hao wawekezaji wakija Tanzania na kuanzia biashara hapa hapa unazani watazuia wasiuze? Jibu ni hapana, so hatuna ujanja isipo kuwa kufight.
Wajasiriamali kwenye maeneo tulipo ni bora tukaunda club za kukutana angalau hata siku za weekend na kucheki trend ilivyo na nini cha kufanyika, kwa sasa biashara zinaenda kwa network, wenzetu unakuta siku za weekend ndo siku za wao kukutana na kupanga mikakati, ila sisi mara nyingi ndo siku za kwenda kushangilia watu wakiingiza pesa huko Uingereza, we need to change.
Success usually comes to those who are too busy to be looking for it." Henry David Thoreau