kwahiyo magaidi wale wanaojilipua na kuua watu wasio na hatia ktk masoko na mikusanyiko ni wajanja na matendo yao huleta faida kwa wanadamu?? aisee...
Hapana ni kinyume chake:
Kusema uongo mbele ya kadmanasi ya mataifa (UN) kwamba fulani ana "silaha za maangamizi", hali ya kujua ni uongo.
Kuvamia nchi za watu, kupindua serikali zao na
kuteketeza mamilioni ya roho za watu , sio elfu 3, na kuwalazimisha kutawaliwa na ma-puppets.
Na hivi karibuni tu tutaingizwa katika valangati jengine bila ya kutaka dhidi ya Iran ambapo roho kibao zitateketea.
Wanaofanya haya sio magaidi na wanaoufanya sio ugaidi
Roho wanazoziteketeza ndio zenye hatia ya kuuliwa bure bure tu,
Roho hizo zinazoteketezwa ovyo ovyo tu zooooooote hutokea kwenye viwanja vya vita maana utakatifu wa majumbani mwao, nchini mwao, misikitini mwao, yoooooote ni viwanja vya vita tu.
Au sioooooo, ua tu migaidi hiyo, kwanini?
Kinamama, kwakuwa wamevaa hijabu, migaidi hiyo, ua tu!!!
Watoto, kwakuwa wanahudhuria madrasa, vigaidi hivi, ua tu !!!
Vijana, kwa kuwa wanashikamana na dini yao na kujaribu kuamsha jamii zao kwa namna ya maelekezo ya dini yao,na kutokuwa wateja wa mila na tamaduni za kiovu ovu hata katika standard za kikristo, mbali ya uislamu, basi kwanini, magaidi hao, ua tu.
Au sio.