Charles Taylor aomba ahamishiwe Kigali, Rwanda

Charles Taylor aomba ahamishiwe Kigali, Rwanda

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
6,279
Reaction score
9,276
Aliyekuwa rais wa liberia charles tylor anayetumikia kifungo chake huko UK ameomba mahakama ya icc immhamishe nchni rwanda kutumikia kifungo chake,tyalor amesema icc haikutendea haki kumpeleka uk sbb ni mbali na rafiki zake ndgu najamaa zake kumwangalia.wakili wake amewandikia barua icc ili washagulikie ombi la mteja wake.hi ni mujibu wa radio maisha fm yakenya
 
Si nilisikiaga segadansi za ulaya ni kama kuishi masaki!
 
huyo jamaa ni mafia halafu kichwa...aliishatoroka jela marekani kabla hajawa raisi liberia
 
Mfungwa anachagua Gereza...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom