Charles Kitwanga: Wauza madawa ya kulevya ndio walioniondoa kwenye nafasi ya uwaziri

Hao drug dealer ndio walio waliomchanganyia vitu asubuh asubuh akaenda kuumbuka mjengoni
 
Hii sio kauli ya kawaida, ni nzito na ya kuogofya inatia Shaka pia kujua hao wauza unga wenye mamlaka makubwa namna hii ni akina nani? Kwa hiyo wamemshugulikia yeye ili biashara iendelee kushamiri hapa nchini?
Walimuonjesha akabwia kisha kuingia kujibu maswali bungeni
 
Back
Top Bottom