Charles Kimei atangaza kustaafu Ukurugenzi CRDB mwaka 2019

Naona kuna upotoshaji hasa wenye personal issues, iko ivi sheria ya BOT inataka nafasi zote za CEO wa mabenki hutangazwa miezi 18 kabla ya kuustaafu kwa MD yoyote wa benki.

Na majina hupelekwa bot na wao hufanya venting. Majina yatakoyo pita ndio hupelekwa kwenye bodi then mkutano mkuu wa wanahisa au management.

Sasa kama hamuelewi mchakato someni tu sio lazima kuchangia
Ilishatokea benki gani mkuu? Maana tunazo benki nyingi sana.
 
Kimei ameshaona kuna anguko kubwa la kiuchumi linakuja hivyo anataka kuondoka katika kazi za benki kabla anguko hilo halijatamalaki.

Na kaanza kutangaza mapema ili aking'atuka watu wasiseme anakimbia, aweze kusema "nikishatangaza kitambo nastaafu".

Kwa hili naona kafanya smart move.
Yeye kasema hiyo Ni sababu yake ya kustaafu?
 
Naona kuna upotoshaji hasa wenye personal issues, iko ivi sheria ya BOT inataka nafasi zote za CEO wa mabenki hutangazwa miezi 18 kabla ya kuustaafu kwa MD yoyote wa benki.

Na majina hupelekwa bot na wao hufanya venting. Majina yatakoyo pita ndio hupelekwa kwenye bodi then mkutano mkuu wa wanahisa au management.

Sasa kama hamuelewi mchakato someni tu sio lazima kuchangia

BOT ina vet ma CEO wa benki zisizo za serikali pia?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hujajibu swali
Swali halijakamilika, umeuliza vipi wale wanaoogopa bila kusema lakini hujasema wanaoogopa nini, ndiyo maana nikakuuliza wanaogopa nini?

Maana inawezekana wanaogopa kuvunja kanuni za kibenki na sheria. Hao wanafaa.

Lakini wanaomuogopa mtu hao hawafai.

Ndivyo nilivyojibu hapo juu hata baada ya swali kutokamilika.
 
hii benki si ndo yenye rangi moja na chama kile? so kaona aachie ngazi 2019 ili aunge juhudi za mheshimiwa 2020, kwasababu probation ya kujitoa akili huchukua 1 year.
 
Swali halijakamilika, umeuliza vipi wale wanaoogopa bila kusema lakini hujasema wanaoogopa nini, ndiyo maana nikakuuliza wanaogopa nini?

Maana inawezekana wanaogopa kuvunja kanuni za kibenki na sheria. Hao wanafaa.

Lakini wanaomuogopa mtu hao hawafai.

Ndivyo nilivyojibu hapo juu hata baada ya swali kutokamilika.
Speculative and generalization
 
Speculative and generalization
Speculative wapi na generalization wapi?

Angalia isije kuwa wewe kusema generalization ndiyo generalization yenyewe na speculative hata maana yake hujui na huna utashi wa kujua.

Wanaoogopa nini?

Hujajibu.

Umeuliza swali vague, halafu unalalamika jibu speculative?

Mtu atakujibu vipi specific kama swali lako si specific?
 
Back
Top Bottom