Charles Kimei atangaza kustaafu Ukurugenzi CRDB mwaka 2019

CRDB sio mali ya serikali jamani na kama wana share ni kdg mno mno ndio maana haina sauti pale, serikali ingekuwa na sauti pale ungekuta kimei alishaondolewa siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii. Si mnajua tena.
 
Aisee nlichogundua Wabongo wanachuki sana na watu waliofanikiwa. Wanataka kila Mtu awe maskini kama wao
Hii tabia sijui kwa nini ipo sana hapa Tanzania, sio tu huko ken economic status yani ni kweny nyanja zote watu lazima wawe na chuki, lkn hii tabia inaanzia mashuleni uku, mana inashangaza wanafunzi kumchukia mwanafunzi anayeuliza sana maswali darasani ET kwa nini kila mara auliza swali si akae kimya kama wengine tu....!!! Ko hii tabia ikiendelea ndo inazalisha haters wengi sana ken mafanikio ya watu, inaumiza sana kwa kweli....
 
Ameona bora akimbie tuu kuna namna pale CRDB serikali inabidi ipamulike kwa jicho la ziada.
katika lugha ya kiswahili ukisema jicho ka tatu na jicho la ziada zina kuwa na maana tofauti kimantiki (different conotation); jicho la tatu humaanisha kuwa na umakini na weledi, hili ni jicho la msisitizo wa kiuchunguzi.
jicho la ziada ni jicho lisilo na ukaairi linalofanya kazi bila maanani! (in a simple way).
 
Hii tabia sijui kwa nini ipo sana hapa Tanzania, sio tu huko ken economic status yani ni kweny nyanja zote watu lazima wawe na chuki, lkn hii tabia inaanzia mashuleni uku, mana inashangaza wanafunzi kumchukia mwanafunzi anayeuliza sana maswali darasani ET kwa nini kila mara auliza swali si akae kimya kama wengine tu....!!! Ko hii tabia ikiendelea ndo inazalisha haters wengi sana ken mafanikio ya watu, inaumiza sana kwa kweli....
kwa nini uwe tajiri katikati ya kundi la masikini?
 
Back
Top Bottom