Charles Kimei atangaza kustaafu Ukurugenzi CRDB mwaka 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Charles Kimei ametangaza kustaafu nafasi hiyo Mei 2019. Mchakato wa kumpata Mkurugenzi mpya kuchukua miezi 19.

Chanzo: Mwananchi
CEO bora mzalendo kwa namna alivyoindesha CRDB hadi imefanya mabenk ya nje yainue mkono kwa Watabnzania haswa wafanyabiashara sana AC bank hiyo napenda namna wanavyofanya kazi na customer care yao ipo vizuri. Kimei ataingia katika vitabu vya mojawapo ya watendaji wazuri wa mabenk ya TZ
 
Back
Top Bottom