Charles Hillary yupo hewani na kipindi cha Charanga

Charles Hillary yupo hewani na kipindi cha Charanga

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,034
Reaction score
900
Kufuatia uteuzi uliofanywa na Ikulu ya Zanzibar kwa Charles Hillary kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Charles Hillary bado yupo kwa mwajiri wake Azam Media na muda huu anaendesha kipindi cha Charanga.
 
Uteuzi si ulianza mara moja ama?

Nakumbuka kuna mtu tulikua ofisi moja, alikula uteuzi wa Rais akiwa safarini kikazi na kesho yake alitakiwa kuapishwa.

Handover ya mwajiri wa awali ilikuja kufanyika baadae akiwa tayari ameshaanza majukumu mapya.

Namtakia kila la kheri huyu nguli wa tasnia ya habari huko anapoenda kuanza majukumu yake mapya.
 
Uteuzi ulianza 30 Disemba 2021
tapatalk_1641124532707.jpeg
 
Back
Top Bottom