Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Thubutu yao, wachumia tumbo wale wawe na ubavu wa kufanana na T-bag!!

Kama ni siasa za CCM si bora tuseme JK manake ndo mwenye siasa za ku-double-cross wenzake!! JK ndie ambae unaweza kufanya nae michezo hatari lakini ukajikuta unazama peke yako!!

Unajua T-bag ni genius kishenzi, sema u-genius wenyewe ulidondokea kwa mhalifu!!

Unajua hata Michael alikuwa anamchukia zaidi T-Bag kuliko mtu mwingine yeyote yule, mosi, kwavile uhalifu wa T-bag ni wa kishenzi zaidi lakini pili, Michael ni mtu wa double-crossing sana, taaluma ambayo T-bag alikuwa amefuzu!!

Matojkeo yake, mara nyingi Michael akijaribu kum-double-cross T-bag, unakuta mwamba alishanusa mchezo kitambo!!
Alikua ana nusa lakini akija ku ng'amua inakua too late tayari 😂
 
Elijah Mikaelson( The originals)..anafanya chochote(despicable things) in the name of Family
Alinifanya mpaka nikamsome Elijah wa kwenye bible, his brother clause alikua akinifurahisha na kibritish.
Natumai Vampire diaries mnaifaham mtu alikua akinikosha sana ni daemon his reckless, careless behaviour.
 
Fring yupo kwenye the hundred? Acha basi
Correction ni Revolution
images.jpg

Nilichanganya mafile.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom