Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Andaa ngano mafuta na chumvi changanya kisha kanda kwa mda mrefu kiasi kwamba ngano ina legea yenyewe kisha tengeneza madonge yako kulingana na idadi yako unayo taka kisha anza kusukuma then ikunje kama unavyo kunja mkeka itokee umbo hili
Baaada ya hapo utaisukuma tena itokee duara linalo eleweka kisha utaanza kuikaanga
baada una kuwa una weka mafuta pole pole na uhakikishe chapati yako inakunjika hivi baada ya kuiva vizuri
Hivyo tu ina pendeza jumamos kama hii una amka mapema una andalia familia yako kama wewe ni mwanamke mwaandalie mumeo ili awe ata ana kukumbuka siku za kazi ila sio mwanaume ana sema bora chapati za kazini mzuri no pika vizuri kama hivi