Chapati kwa kiingereza inaitwaje?

Chapati kwa kiingereza inaitwaje?

Un leaved bread

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Shuleni tulibishana sana hii kitu maana kuna jamaa alidai inaitwa ''Chepeti'' unatamka kimadoido..

Ila Chapatti ni jina la Kihindi.

Misri wao huita Mikate so in English ni Bread tu unaweza ongezea madoido kama slices or whatever but kiuhalisia ni Mkate sio chapati. hivyo Chapatti linabakia kuwa ni jina la kihindi likimaanisha Mkate Maana Mikate tokea enzi na enzi Misri ikahamia kwa Waisrael wakaendeleza ilikuwa ngano inakandwa na kubanikwa kwenye majiko ya kuoka na jina lilikuwa ni mkate kwani umbo maarufu la duara.

03wmt1-jumbo-v2.jpg

Hiyo Uropa
101913470-169172437.530x298.jpg

Hiyo ni Misri

broccoli_chapati.jpg

Hiyo India
Chapati_thumb%25255B2%25255D.jpg

India Soft Chapati

roti-cutlets2.jpg

sandwich.jpg

Wazungu wakamalizia wao kwa Kuiita Sandwich
 
Back
Top Bottom