Kwani umesikia kwenye Kiswahili hatujacopy kutoka lugha zingineKwani una uhakika neno chapati ni la kiswahili? Mbona limekaa kihindi Hindi hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kua sasa siyo lazima upigiwe ngoma mkuu
10 Kenyan food you didn't know had English names - Nairobi NewsMsaada wenu tafadhali
Matusi sasa! subiri wakufungie, Melo ni wa huko kwenu! Nimecheka sana du!