Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,391
Nawe kama upo huko kaa mbali na maandamano hayo ukijifanya mwanaharakati utakuja kujuta...marekani Pazuri bwana vumbi la huku hutoliweza😀😀😀
Kumbe kuna Watanzania wema, wanaotakia wenzao mema.
Nawe kama upo huko kaa mbali na maandamano hayo ukijifanya mwanaharakati utakuja kujuta...marekani Pazuri bwana vumbi la huku hutoliweza😀😀😀
Kumbe kuna Watanzania wema, wanaotakia wenzao mema.
Nawe kama upo huko kaa mbali na maandamano hayo ukijifanya mwanaharakati utakuja kujuta...marekani Pazuri bwana vumbi la huku hutoliweza
Kama ulivyosema, kuna some confusion lakini nilivyoelewa ni kwamba, hapa kuna makundi mawili ya Green Card holders! Kundi la kwanza, ni kama wewe NN endapo una GC lakini before Trump's order, say ulikuwa Syria!
Ukirudi US, utatakiwa ku-apply for a waiver!!
Kundi la pili la GC Holders ni wale wanaotoka kwenye zile nchi 7. Endapo Trumpr's order iliwakuta wakiwa nje ya US; hawa wana kazi kubwa zaidi kuingia tena US kuliko hiyo ya ku-apply for waiver!!
Ndiyo matatizo ya kukurupuka hayo bila kukaa chini na kutafakari kwa kina athari ya sera husika kwa nchi na wananchi.
View attachment 465048 View attachment 465049
This can be the face of America for the next 4 years under this Adm.
On one side it's freedom of speech. On the flip side, kinda undermines the notion "Making America Great Again"
BAK am just thinkin' aloud. 🙂
Babu yake trump ni muamiaji kutoka German na mama yake ni muamiaji kutoka kakisiwa kamoja kadogo kanaitwa 'isle of Lewis'huko scotland,United Kingdom.Nahisi ndo maana anafanya harakati fasta za kuhamishia serikali yake Idodomya maana anajua yeye na wenzake wanaoishi kule kwenye shombo ya samaki itabidi wajitimue pia. Trump mwenyewe nasikia asili ya wazazi wake ni wakimbizi kutoka Ujerumani. haahaa
I know kui but I am very impressed by the attitude and actions of Americans when it comes to this bigotry decision. USA baby [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]
Yeah, the way Americans voiced solidarity in this has been wonderful. Shows their kindness around the World.
Yeah, the way Americans voiced solidarity in this has been wonderful. Shows their kindness around the World.
Nilichogundua kuwa raia wa Marekani sio wabaguzi na wana upendo wa kweli ila tatizo kubwa ni mfumo wa serikali yao. Na kwa huyu chizi Trump mbona tutakoma.Ingia facebook live ya Melissa robbins tupo hapa PHL - Philadelphia airport tumeshaagiza food tracks zije na watu wanazidi kumiminika... Nawapenda wamarekani kwa umoja wao na upendo kwa Kila MTU.
Safi sana yapaswa kupingwa na Kila mpenda Amani hapa Duniani, USA ikianza kuwa mfano mbovu basi Dunia nzima itakuwa si salama.Kuna breaking news nimepokea sasa hivi toka BBC inadai 16 AGs from different states wamemshutumu jamaa na maamuzi yake.
Ubaguzi upo tena mkubwa tu ila sio wakumbagua MTU kwa imani yake.Nilichogundua kuwa raia wa Marekani sio wabaguzi na wana upendo wa kweli ila tatizo kubwa ni mfumo wa serikali yao. Na kwa huyu chizi Trump mbona tutakoma.
Wewe unakereka nini wakienda kokote wanapotaka? Vp kuhusu sisi wa Africa tunaokufa kila siku tukivuka bahari kwenda ulaya na America vp umefikiria pia kutuuliza tuna ulazima gani wa kwenda huko kwanini tusiende kwa ndugu zetu huko Gambia Malawi au Sudan kusini!Kwanini hayo immigrants na refugees from those Arabic countries hawakimbilii nchi za kiarabu kama UAE, Qutar etc. Trump as the US president is right. Hata mm JPM akifanya km Trump anavyofanya for Tanzanians nitamu support 100%
Safi sana yapaswa kupingwa na Kila mpenda Amani hapa Duniani, USA ikianza kuwa mfano mbovu basi Dunia nzima itakuwa si salama.
You're such a great thinker [emoji106][emoji106][emoji106]Wewe unakereka nini wakienda kokote wanapotaka? Vp kuhusu sisi wa Africa tunaokufa kila siku tukivuka bahari kwenda ulaya na America vp umefikiria pia kutuuliza tuna ulazima gani wa kwenda huko kwanini tusiende kwa ndugu zetu huko Gambia Malawi au Sudan kusini!
Mpaka Sasa sijajua kwanini watanzania wanawachukia na kuwaombea mabaya watu wanaishi USA, UK na ULAYA kwaujumla. Ukisoma maoni ya watu wengi yamejaa hasira isiyo na chanzoWewe unakereka nini wakienda kokote wanapotaka? Vp kuhusu sisi wa Africa tunaokufa kila siku tukivuka bahari kwenda ulaya na America vp umefikiria pia kutuuliza tuna ulazima gani wa kwenda huko kwanini tusiende kwa ndugu zetu huko Gambia Malawi au Sudan kusini!
Nahisi ni wivu tu wakijingaMpaka Sasa sijajua kwanini watanzania wanawachukia na kuwaombea mabaya watu wanaishi USA, UK na ULAYA kwaujumla. Ukisoma maoni ya watu wengi yamejaa hasira isiyo na chanzo
Yeah, the way Americans voiced solidarity in this has been wonderful. Shows their kindness around the World.