DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,101
Nahisi ndo maana anafanya harakati fasta za kuhamishia serikali yake Idodomya maana anajua yeye na wenzake wanaoishi kule kwenye shombo ya samaki itabidi wajitimue pia. Trump mwenyewe nasikia asili ya wazazi wake ni wakimbizi kutoka Ujerumani. haahaaHahahahaaa, hili tangazo kuna watu tunalipenda sana lije. Haiwezekani nchi yetu ikawa na njaa hali yakuwa wakuja wamejazana kwenye kimji cha wazaramo na kuacha kulima huko.