KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,004
- 40,426
Kwa kweli sheria ni kama kapu linalokusanya waliokuwemo na waso kuwemo.....ukizingatia hali ya usalama wa dunia sasa hivi......
Sidhani kama hii sheria itasaidia kile ambacho raisi amekikusudia bali nadhani itaongeza matatizo na utawala utakuwa mgumu.....
Kuna malaki na maelfu ya wananchi wanaoteseka huko Syria wanaohitaji huu msaada......na sheria hii ni kama kitanzi cha matumaini yao......
Ni kama vile dunia imewatenga.....