kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
utabiri bado unaendelea teh! teh! mtaendelea kuchemka tu
Si utabiri, hali ya upinzani ikiendelea hivi na nchi isipounganishwa 'anaweza' awaponze wenzake mwaka kesho.

ameshindwa kujiponza mwenyewe ndo aje kuponza wawakilishi?!! haya anayoyafanya ndo aliahidi kwenye kampen zake, sasa mbona hajajiponza mwenyewe?!!!