The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,713
- 9,364
Wanafunzi ndiyo waliochoma makanisaMaandamano ni yataendelea sababu
Maandamano ni ya wananchi wa Ufaransa wenyewe
Kudai ni wageni ni sio kweli
Wanafunzi wanalalamika Walimu wachache Mashuleni
Na Walimu wanadai vitendea kazi hakuna
Wanafundisha Wanafunzi wengi sana !!!!
Kwanzia jana kundi jipya limeingia kuandamana kwasasa ndio Fujo lazima zitokee!!!!
Wazungu wenyewe ndio Vinara wa Maandamano
Kama kudai waislamu kuwa wengi pale pale Ujerumani Uholanzi pia kuna Waislamu wengi lkn kumetulia kabisa
Hakuna picha Makanisa yakichomwa MOTO
Lkn tukumbuke WAZUNGU kwasasa hawapendi kwenda Makanisani
Ukiyakuta Makanisa yapo tupu mengine matumizi Yamebadilka nasasa kuko ivyo!!
Serikali zao za Ulaya wanapinga kuanzishwa Misikiti!!! !!!