Chanzo cha yanayoendelea Ufaransa ni hiki...!

Chanzo cha yanayoendelea Ufaransa ni hiki...!

Maandamano ni yataendelea sababu
Maandamano ni ya wananchi wa Ufaransa wenyewe

Kudai ni wageni ni sio kweli

Wanafunzi wanalalamika Walimu wachache Mashuleni

Na Walimu wanadai vitendea kazi hakuna
Wanafundisha Wanafunzi wengi sana !!!!

Kwanzia jana kundi jipya limeingia kuandamana kwasasa ndio Fujo lazima zitokee!!!!

Wazungu wenyewe ndio Vinara wa Maandamano

Kama kudai waislamu kuwa wengi pale pale Ujerumani Uholanzi pia kuna Waislamu wengi lkn kumetulia kabisa

Hakuna picha Makanisa yakichomwa MOTO

Lkn tukumbuke WAZUNGU kwasasa hawapendi kwenda Makanisani

Ukiyakuta Makanisa yapo tupu mengine matumizi Yamebadilka nasasa kuko ivyo!!

Serikali zao za Ulaya wanapinga kuanzishwa Misikiti!!! !!!

Kudai ni wageni sio kweli. Hayo mambo ya kiafrika, kila tatizo kusingizia watu wengine. Kikulacho ki nguoni mwako. Wapambane na hali yao
 
Ufaransa ni nchi ilotajirika kwa kudhulumu nchi za Afrika yani in short ufaransa ni nchi masikini tu
Ufaransa kodi zipo juu sanaaa bcz hawana uzalishaji unotegemea nchi yao kila kitu wao wanaiba africa

Ufaransa haina Raia wa kutosha mfano mdogo tu timu ya taifa wamejazana waafrica ple mpka leo ufaransa mtoto akizaliwa kuna Zawadi familia inapewa haya yote yametokana na sera yao ya kuzaa watoto kidogo saivi wanateseka nchi haina watu
 
Mwanzo yalikuwa ya wananchi kweli ila wageni hii fursa walikuwa wanaisubiri kwa mda sana na imetokea ndo

Mwanzo yalikuwa ni wananchi kweli ila kwa sasa wananchi wa Ufaransa wamejitoa wamebaki wageni na ndo vurugu wanazozifanya

Kusema wazungu hawapendi kwenda kanisani hiyo sio sababu ya wewe kuchoma makanisa

Huko Uholanzi na kwingineko sasa hivi kuna vuguvugu mda si mrefu kunanuka

Kwasasa Wazungu wa Ulaya wanaunga mkono Palestine yani wananchi wakawaida

Washafanya Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono Ulaya yote kupinga Kile Israel inafanya kwa Palestine

kwaiyo kuona Wazungu
wamebeba Bendera ya Palestine visikuchanganye kudhani wale ni Waarabu

Ni Wazungu ndio wanabeba Bendera ya Palestine

Kama ulikuwa ujui
Kwasasa Waisrael Zayuni ndani ya Ulaya wanaishi kwa kujificha jificha Utaifa wao
Tofauti na miaka ya nyuma!!

Wapalestina wanapendwa Ulaya kuliko Waisrael ✍️
 
Mnaokoteza mashudu jp kwenye makanisa yenu ya kuruka ruka kama fisi pori
Nimekuuliza hapa wewe una akili kushinda Dominick??

Nchi pekee barani ulaya yenye utulivu na hio strategy ndo imewasaidia mpaka sasa

Usiseme naokoteza hiyo ya kufanya uhalifu na kusema allah akbar humanisha nini
 
Jamaa anakwambia ukisogelea tu boarder ya Polish umeisha
 

Attachments

  • #polish_#poland_#fyp.mp4
    741.7 KB
Kudai ni wageni sio kweli. Hayo mambo ya kiafrika, kila tatizo kusingizia watu wengine. Kikulacho ki nguoni mwako. Wapambane na hali yao
Ujinga wao wakiona Bendera ya Palestine juu wanadhani ni Waarabu ndio wamebeba !!!

Wkt Ulaya yote mpaka Italian kulichafuka kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina

SPAIN Ujerumani Uholanzi Uingereza Scotland pote kumechafuka na maandamano mabaya sana

mpaka leo Waisrael wanatembea kwakujificha Utaifa wao✍️
 
Nchi ya Ufaransa inapitia kipindi kigumu sana wakati huu ambapo waandamanaji wanazidi kufanya kila aina ya uhalifu

Kwanza turudi nyuma mwaka 2024 bunge la Ulaya lilipoazimia kupitisha Sera ya wahamiaji na wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali na lengo la kupitisha hii sheria ilikuwa ni kibinadamu zaidi lakini huu ndo mwiba unaowatesa hivi leo

Lakini katika hilo Bunge kuna nchi zilipinga sana na kulikemea hili na nchi hiyo ni Poland na Slovakia, ila Poland ilikuwa mstari wa mbele ikiwakilishwa na mbunge Dominick Tarczynski, huyu jamaa ni genius balaa na anakuchana bila ya kukuonea haya

Basi wenye kuanza kuruhusu wahamiaji na wakimbizi waliruhusu na wahamiaji wengi walitoka kwenye nchi za Kiarabu yaani Afrika kaskazini na Middle East hapa ndipo kosa kubwa lililofanywa huku wakiwasema Poland na wenzake kwamba ni ma-racists ila hawakujali

2026 wanafunzi wa kiFaransa na wageni wameanza kuandamana tena kwa nia njema tu na bila kufanya uhalifu wowote ule sasa Kadri siku zinazidi kwenda wenyeji wanashangaa mbona kama imekuwa kwenye hii hali na hatujawahi kufika huku

☆Picha linaanza waandamanaji wanaandamana wakiwa na bendera za nchi zao za asili yani utakuta huyu ana bendera ya Algeria huyu Morroco huyu Palestina na kadhalika

☆Jamaa wanavunja maduka ya watu haijawahi tokea yani wanaiba wazi wazi

☆Mpaka sasa makanisa 22 yamechomwa ila hakuna msikiti wowote ule uliochomwa

☆Leo nimeona kuna ki clip jamaa wanasema let's kill Police in the name of allah Daan mpakaa nimeshangaa asee

☆Mtu akichoma mali anasema allah akbar

Turudi kwa huyu jamaa Dominick Tarczynski, huyu jamaa ana msemo wake sasa sijui ni wake au wa nchi yake ni kwamba LEARN FROM POLAND, BE LIKE POLAND na kila interview anayofanya anakwambia ukikaribia boarder ya Poland usije ukailaumu nchi yake maana utakacho kutana nacho sijui , na hivi karibuni kuna mlinzi wa boarder wa Poland aliuliwa na wahamiaji nchi yake ikapitisha sheria ya kutumia live bullets kwa hiyo boarder za Poland ni za moto kwa wahamiaji mno


Juzi aliingia mtaani mjini Cracow akaanza ku-compare hapo na Paris huku akisema hapa ni patilivu sababu hakuna wahamiaji na hapa kuna utofauti mkubwa na states za France ni kama alikuwa anawa mock ila ndo ulikuwa ukweli

Ukifatilia nchi ya Poland na Slovakia kwakweli zimetulia tofauti na Western Europe na wamesema watalinda culture zao kwa nguvu zote ukiwemo Ukristo

Sasa hawa jamaa Waarabu wakiwa kwenye nchi zao wanabanwa kwelikweli wakija Ulaya kwa sababu kuna uhuru basi wanajiamlia mambo ila kingine kwenye haya maandamano shida nyingine ni dini ya Kiislamu sababu ya kutaka kutake over hili hata Trump kalisema juzi yani haiwezekani unachoma makanisa kwenye nchi yenye tamaduni za kikristo halafu misikiti hamna hata mmoja

Na hili ni swala la muda tu kila aliyeruhusu hawa jamaa atafikiwa tu yaani Eastern Europe yani Great Britain, Germany na wenzake suluhisho wanatakiwa kuderpotiwa warudi kwao la sivyo ngoma ndo imeanza maana sasa hivi
*Ubakaji umekuwa katika high rate sababu ya hawa jama
*Uhalifu umeongezeka mno

Huyu ni Trump👇👇 ila pia nimekuwekea video za Mwanaume Dominick

Huyo Dominick anakwambia kama wanataka maisha mazuri waende Qatar au Saudia huyu jamaa kama ana make flani hivi

View attachment 3693844
View attachment 3693845
View attachment 3693845
View attachment 3693847
Chanzo kikuu ni uvamizi wa nchi za Kiislamu kama Iraq, Afghanistan, Syria, libya
 
Serikali za Ulaya ndizo zinaunga mkono Israel

Lkn Wananchi wao wanaunga mkono Palestine 🇵🇸 lipo wazi kabisa

ndiomana Serikali za Ulaya hawataki Benjamin Netanyahu afike Nchi zao ile Warranty ya ICC kwa Benjamin Netanyahu imetoka kwa Siri Serikali za Ulaya zimeunga mkono kutolewa kwake❗

Lengo la Ulaya hawataki Benjamin Netanyahu atembelee nchi zao baada ya kujua tasmini Wananchi wao hawamtaki kabisa kumuona Benjamin Netanyahu

Sasa kwakuwa wanajua Benjamin Netanyahu jeuri lazima angelazimisha kwenda Ulaya kitendo kingewaachia wao kimavi akiondoka

Wakakaona Dawa yake kimyaa kimya kuunga mkono Kutolewa Warranty ya ICC

Asije kwao!!!!

Mossad wamejua chezo lote :FIRE:
Kumbe Ulaya wanaitumia ICC kama Fimbo ya kumzuiya Benjamin Netanyahu kufika Ulaya ❗

Ndiomana Trump kwaniaba ya Israel wanataka kuifuta ICC :BanHammer:✍️
 
Kidonda cha Palestine uwende kikaangusha sio tu Serikali za Ulaya bali mpaka Marekani yumkin wakagawanyika kutokea
Mataifa 50+

Yakaanza kuchupuka kutokea ndani ya 50+
 
Tena UISLAM ktk Ulaya Ufaransa ndio wanapitia Sheria ngumu sana kuliko kwengine ❗

 
Waoneni wafadhili wa vita hata huku bongo kanisa lilifadhili ile oktoba na likashindwa , mnavyolazimisha. Siku moja muache nchi za watu tena muondoke , ondooeni na bidhaa zenu , fungeni vyombo vyenu vya habari na hata kusiwepo kwa ushirikiano tena ..Mbona mpo sana huko , mnazunguka ila mtu akija kwenu mnamuita mhamiaji .

Mafuta mnategemea kwa waarabu kama vip sitisheni uhusiano tu kama mnaweza.​
 
Acheni chuki dhidi ya Uislamu. Hakuna nchi ya kiislamu iloivamia nchi ya kikristo. Kula siku ni wakristo ndio wanaovamia waislamu. Marekani kavamia Afghanistan, Iraq, Iran , Libya, Somalia , Palestine, huko kote kaacha mauaji na mateso ya kutisha. Punguza ushoga bwabwa ww
Uislamu ni upumbavu lazima uchukiwe na kupigwa vita ...na huu ndiyo mwanzo mpya ...waislamu sasa mnakwenda kupewa jina kamili .... sasa hivi dunia inskwenda kumtambua muislamu na Uislamu kuwa ni chukizo kamili...shikeni haya maneno yangu.
 
Waoneni wafadhili wa vita hata huku bongo kanisa lilifadhili ile oktoba na likashindwa , mnavyolazimisha. Siku moja muache nchi za watu tena muondoke , ondooeni na bidhaa zenu , fungeni vyombo vyenu vya habari na hata kusiwepo kwa ushirikiano tena ..Mbona mpo sana huko , mnazunguka ila mtu akija kwenu mnamuita mhamiaji .

Mafuta mnategemea kwa waarabu kama vip sitisheni uhusiano tu kama mnaweza.​
Muislamu Samia aku Pigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu kwa asilimia 80% tumbie kwa nini ?..SAMIA HAKUBALIKI NA YOYOTE ISIPOKUWA WASHENZI WACHACHE WAKIWEMO MASHEKH..HUU UKWELI HSTA HAO MASHEKH WAMESHA UJUA KWA KUONA NAMNA WATU WALIVYO KATAA KUPIGA KURA 2025, HATA KWENYE MIKOA YENYE WAISLAMU WENGI..
 
Nimekuuliza hapa wewe una akili kushinda Dominick??

Nchi pekee barani ulaya yenye utulivu na hio strategy ndo imewasaidia mpaka sasa

Usiseme naokoteza hiyo ya kufanya uhalifu na kusema allah akbar humanisha nini
🚮 kujadili na mlokole ni kupoteza mda
 
Wakuu msiingizwe kanyaboya Sababu kuu ya Machafuko Ufaranser ni Israel. Wayahudi wanalipa kisasi kwa sababu France iliwawekea ngumu kwenye vita yao na Iran. Na wahanga wa hawa wabaguzi wa kiyahudi ni wengi: Spain, yule Judge mkuu ICC. Yaani uwe umejipanga ukitaka kuikosoa Israel unaweza futwa mzima mzima.
 
Muislamu Samia aku Pigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu kwa asilimia 80% tumbie kwa nini ?..SAMIA HAKUBALIKI NA YOYOTE ISIPOKUWA WASHENZI WACHACHE WAKIWEMO MASHEKH..HUU UKWELI HSTA HAO MASHEKH WAMESHA UJUA KWA KUONA NAMNA WATU WALIVYO KATAA KUPIGA KURA 2025, HATA KWENYE MIKOA YENYE WAISLAMU WENGI..
Johnson Lwiva Nguruwe , wangefunga mipaka kwanza na wao wakaondoka nchi za watu ..Nyi nguruwe mnatuma mpaka majeshi ili kulazimisha demokrasia ya ushoga katika nchi za wengine, fungeni mipaka na nyie muondoke ..kama vidume ni vipi vita ya mashariki ya kati inawaathiri ; kila kitu kimepanda bei kwa hiyo mnategemea waarabu sio mpaka huko kwa mume wako USA vitu vimepanda bei .


Najua hamuwezi kukata uhusiano , mtakufa njaa.
 
Maandamano yanaendelea Ulaya nzima, Albania kuna maandamano na uharibifu mkubwa kuliko France, Italy, Spain, Belgium, Portugal, greek kote kuna maandamano, vipi na huko pia ni Sera za uhamiaji?

Halafu kila siku mnawaza kwanini hili Bara haliendelei.
 
Johnson Lwiva Nguruwe , wangefunga mipaka kwanza na wao wakaondoka nchi za watu ..Nyi nguruwe mnatuma mpaka majeshi ili kulazimisha demokrasia ya ushoga katika nchi za wengine, fungeni mipaka na nyie muondoke ..kama vidume ni vipi vita ya mashariki ya kati inawaathiri ; kila kitu kimepanda bei kwa hiyo mnategemea waarabu sio mpaka huko kwa mume wako USA vitu vimepanda bei .


Najua hamuwezi kukata uhusiano , mtakufa njaa.
Kwa hiyo unabisha niliyo kuambia kuwa Samia akupigiwa kura na hata na waislamu wenzie
 
Kwa hiyo unabisha niliyo kuambia kuwa Samia akupigiwa kura na hata na waislamu wenzie
Waislamu binafsi ,hatawaki kabisa serikali zao kushirikikiana na Nyie ..Fungeni mipaka na kule middle east muondoke ..Toeni makampuni yenu yote na majeshi 🤣🤣🧌

Mnafuata nn nyie manguruwe?
 
Back
Top Bottom