Chanzo cha usekula duniani(kutenganisha Dini na maisha)

Kuachwa huru biblia ili kila mtu aisome kumeongeza idadi ya madhebu huku mengine yakiongozwa na watu kama vichaa na mapepo yakipewa nafasi kubwa. Imani sana sayansi kidogo. Sayansi sana imani kidogo. Afrika ni imani sana na waoga wa mapepo sayansi na maendeleo kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
binadamu walipoanza kuichunguza dunia waligundua kanisa linapotosha mengi na linawarudisha nyuma. zamani lilikataza kupasua maiti kuchunguza magonjwa au kujifunzia. biashara ya benki lilikataza. kila kitu walikitafsiri kuzunguka biblia, wakaona bora likae mbali. hili bado ni tatizo kwa nchi za kiislamu, kila kitu wana kitafsiri na kukitazama kuzunguka Quran.
 
Uislam ni tatizo kubwa sana kwenye hii Dunia kwa sasa
Yaani watu wa imani nyingine wangekuwa na vichwa vibovu kama Waislam, basi hii Dunia vita za kidink zisingeisha
 
Point ni kuwa Dini zote ni upumbavu, Wazungu walikuwa smart kutenganisha Dini na siasa, ila waarabu ni vilaza hadi leo hii wanachanganya Dini na siasa ndio maana hawaishi kuuana
Chanzo cha usmart wao umekijua?
 
Uislam ni tatizo kubwa sana kwenye hii Dunia kwa sasa
Yaani watu wa imani nyingine wangekuwa na vichwa vibovu kama Waislam, basi hii Dunia vita za kidink zisingeisha
Tatizo la Waislamu Ni lipi hasa kwa akili zako?
 
Waislam wanaona Dini yo ndio dini kuu kuliko zote (hili sio tatizo), tatizo ni kuwa Waislam hawataki kabisa wnapokuwepo wao Dini nyingine ziwepo, hawana uvumilivu kwa imani nyingine kabisa, na sio Dini nyingine tu, hata wao ndani kwa ndani hawavumiliani wanapotofautiana, halafu wakiwepo nchi nyingine ambazo sio za Kiislam wanalazimisha nchi hizo kubadilisha tamaduni na mazingira yao ili ku accomodate Uislam, lakini Wakristo ama Wahindu ama Wayahudi waliopo kwenye nchi za Kiislam wakiabudu wanatakiwa wajifiche, hakuna uhuru wala haki za kidini kwa wasio Waislam...
Wanona kitu chochote ambacho so cha Kiislam hakifai na kinafaa kuangamizwa, utamaduni wowote ambao sio wa Kiarabu unafaa kuangamizwa.

Yaani hawataki kukubali kabisa hii Dunia tupo na falsafa na imani tofauti na tunapaswa kuvumiliana na kuheshimiana, wao wanataka kila mtu aheshimu imani yao huku wao wakitukana imani nyingine, au kufikia hata kuua wasioamini Dini yao

Nchi zeny muslim majority Mkristo ama mpagani kuishi huko inakuwa ni kama jela, lakini wao wakienda nchi za Wakristo ama wapagani wanataka mazingira yabadilishwe na tamaduni zibadilishwe au hata sheria kwa ajaili yao

Hawa watu kuishi nao ni kazi sana
 
Waislam wanaona Dini yo ndio dini kuu kuliko zote (hili sio tatizo), tatizo ni kuwa Waislam hawataki kabisa wnapokuwepo wao Dini nyingine ziwepo, hawana uvumilivu kwa imani nyingine kabisa, na sio Dini nyingine tu, hata wao ndani kwa ndani hawavumiliani wanapotofautiana, halafu wakiwepo nchi nyingine ambazo sio za Kiislam wanalazimisha nchi hizo kubadilisha tamaduni na mazingira yao ili ku accomodate Uislam, lakini Wakristo ama Wahindu ama Wayahudi waliopo kwenye nchi za Kiislam wakiabudu wanatakiwa wajifiche, hakuna uhuru wala haki za kidini kwa wasio Waislam...
Wanona kitu chochote ambacho so cha Kiislam hakifai na kinafaa kuangamizwa, utamaduni wowote ambao sio wa Kiarabu unafaa kuangamizwa. Hawa watu kuishi nao ni kazi sana
Historia haituambii hivyo, kwani Mtume na waliomfuata yeye waliishi na makafiri na hawakuwalazimisha ktk Dini. Isipokuwa Sasa Waislamu wanalazimishwa katika Dini za kikafiri
 
Wapi Muislam kalazimishwa Dini nyingine? Hapo Zanzibar si ndio mlikuwa mnauwa mapadri miaka ya Juzi tu? Serikali ya Zanzibar si inalazimisha Watu wote kufunga Ramadhani bila kujali imani yao?

Huku Tanganyika kwenye wakristo wengi ulishasikia Wakiwalazimisha Waislam kufunga Kwaresma? Anayemlazimisha Mwingine ni nani hapo?
 
Dunia nzima, wanalamishwa kufuata Demokrasia au ubepari, ujamaa, na itikadi zingine zisizo na mashiko.
Unavyosema wakristo Ni wengi bara kwa data zipi!?
 
Pit

Pitia CIA factsheet uone Waislamu Ni 50% au 55% bara na 99% visiwani
 
Point yangu haikuwa wingi, point tubayojadili hapa ni Waislam kutovumilia imani nyingine na kulazimisha kila mtu afuate wanavyoamini wao
Nikakutolea huo mfano wa Zanzibar kulazimisha watu wote kufunga Ramadhani bila kujali imani zao, ulishaona Wakristo wakiwafanyia hivyo Waislam?
 
Dunia nzima, wanalamishwa kufuata Demokrasia au ubepari, ujamaa, na itikadi zingine zisizo na mashiko.
Unavyosema wakristo Ni wengi bara kwa data zipi!?
Mashariki ya kati wanafuata udikteta wao, na ufalme hakuna anayewaingilia ni wananchi wenyewe wanaandamana machafuko yanatokea. Ndio maana maandamano yalitokea nchi za Kiarabu na serikali nyingi kupinduliwa na wenyewe..
 
Back
Top Bottom