Chanzo cha mahusiano kupoteza mvuto

Chanzo cha mahusiano kupoteza mvuto

Makande ni matamu sana hasa yapikwe na anayejua kuyapika
Makande ni chakula cha watanzania wote kinaliwa kila mahali
Ukila na parachichi n matam sana, wapare nahis ndio wanaongoza kwa chakula hicho
 
Inasaidia kujenga,ushauri huu mzuri mtu akiwa na stress ila akiwa inlove huu uzi mtu anaupita tu,ndio kwanza anaenda kumsimulia mpenzi wake,"eti baby jf wanasema mapenzi sio inshu,nawashangaa kweli"
Wanakwenda kutushtaki badala ya kutumia kama somo la kujiandaa, na hakika ukipitia somo hili hata huko mbele utaweza kujua namna ya kujipunguzia maumivu kimtindo
 
Back
Top Bottom