kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Nahitaji majibu ya mama mkwe wangu alisema?[emoji2960]Umenikumbusha maria roza[emoji4]
Nahitaji majibu ya mama mkwe wangu alisema?[emoji2960]Umenikumbusha maria roza[emoji4]
Makande yalivyomatamu unayafananisha na mwenzioKukinaina kubaya sana inafika stage unamuona mwenzio kama makande hapo ndyo tatizo linapoanzia.
aiseee..imewahi kukutokea ninjKukinaina kubaya sana inafika stage unamuona mwenzio kama makande hapo ndyo tatizo linapoanzia.
Mbaya zaid inatokea ukichambandua tu unaanza na kumuona vile yan unakuwa unajua kabsa moyoni kuwa kweli huyu simpendi ila basi tu.Kukinaina kubaya sana inafika stage unamuona mwenzio kama makande hapo ndyo tatizo linapoanzia.
ndio mkuuaiseee..imewahi kukutokea ninj
sijawahi kuweka makande katika orodha ya chakula nayawekaga kwenye matatizo yanayoikumba Africa .Makande yalivyomatamu unayafananisha na mwenzio
mwisho wake ikawajendio mkuu
Mapenzi ni kujali.... Dawa ni kutafuta mbinu na kujiandaa namna ya kupambana au kupunguza hizo stress, ama sivyo zitakudondosha kiharusiStress za mapenz ni mbaya sana hasa ukiwa unajali kila kinachotokea
asee kinacho bakia ni uvumilivu tuu. moyo ndo unadanganya na ndo huo huo unaaanzaga chokochoko.
Mmmmh..
Ukiwa moyo mashine utakufa kwa stress kuna mambo mengine hupaswi kuyajali sana
Mfano wa hayo mambo ni yapi??
Natumai mapenzi hutoyaorodhesh
Kikubwa n mapenz kwasababu kilichowaunganisha n hicho na yote yanayotokea chanzo n mapenzi.
Nahitaji majibu ya mama mkwe wangu alisema?[emoji2960]
Kukinaina kubaya sana inafika stage unamuona mwenzio kama makande hapo ndyo tatizo linapoanzia.
Makande yalivyomatamu unayafananisha na mwenzio
Mbaya zaid inatokea ukichambandua tu unaanza na kumuona vile yan unakuwa unajua kabsa moyoni kuwa kweli huyu simpendi ila basi tu.
Sijui hii hali kwann huwa inatokea after.