Chanzo cha mahusiano kupoteza mvuto

Chanzo cha mahusiano kupoteza mvuto

Inasaidia kujenga,ushauri huu mzuri mtu akiwa na stress ila akiwa inlove huu uzi mtu anaupita tu,ndio kwanza anaenda kumsimulia mpenzi wake,"eti baby jf wanasema mapenzi sio inshu,nawashangaa kweli"
Nilivyoona ana anza na vitu vya kwenye hiyo para ya tatu nami nikaanza kuotesha mbawa tyr kwa kuruka.... na sikutaka kujua sbb zake mpaka baadae alipokuja kuziainisha
Hutakiwi kujisumbua kwa maswali ambayo majibu anayo mtu mwingine, ama sivyo utapata shinikizo la moyo
 
..love is serious mental illness, binadamu wote lazima mapenzi yatuathir brain zetu kdogo..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msalimie Swalehe
Hahaha sawa anakula Hatujasahau bulubandi
IMG_20190803_163841_0.jpeg
 
Hahahha sasa wengi tunaamini au pengine ndivyo ilivyo kuwa mapenzi ndio furaha ya kweli,yaani ukiwa na mpenzi unakuwa na furaha ile yenyewe yaani
Ni kweli lakin mambo yakibadilika furaha inageuka kuwa karaha +stress mapenzi n mazuri na n mabaya sana.
 
Aisee kama inafaida kwetu, basi wengi tumeshindwa kuvumilia pengine almost nusu ya dunia
..love is serious mental illness, binadamu wote lazima mapenzi yatuathir brain zetu kdogo..
 
Chochote chenye big impact kina impact kubwa hata kwenye kuanguka kwake...hapa ninajifunza kumbe sio kitu cha wachache...
Ni kweli lakin mambo yakibadilika furaha inageuka kuwa karaha +stress mapenzi n mazuri na n mabaya sana.
 
Back
Top Bottom