Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
- Thread starter
- #21
Umbea, umbea. Ina maana magar ya Dar Arusha ni Dar Express pekee, au wao wana nini cha zaidi. Huo ni uongo mkubwa. Umetumwa kuwafanyia promo Dar Express.
Ni kampuni 2 tu ndo zenye ushindani wa abiria kwa njia ya Dar to Arusha, nazo ni Dar express na Kilimanjaro express.. Wameshndwa kuzifungia Kilimanjaro express kutokana na jeuri ya bwana Sawaya(mmiliki wa Kilimanjaro) serikalini.. Nadhan Sawaya anafahamika.