Chanzo cha kufungiwa kwa mabasi ya Dar Express ni Ridhiwan JK

Umbea, umbea. Ina maana magar ya Dar Arusha ni Dar Express pekee, au wao wana nini cha zaidi. Huo ni uongo mkubwa. Umetumwa kuwafanyia promo Dar Express.

Ni kampuni 2 tu ndo zenye ushindani wa abiria kwa njia ya Dar to Arusha, nazo ni Dar express na Kilimanjaro express.. Wameshndwa kuzifungia Kilimanjaro express kutokana na jeuri ya bwana Sawaya(mmiliki wa Kilimanjaro) serikalini.. Nadhan Sawaya anafahamika.
 
Umbea, umbea. Ina maana magar ya Dar Arusha ni Dar Express pekee, au wao wana nini cha zaidi. Huo ni uongo mkubwa. Umetumwa kuwafanyia promo Dar Express.

We mpumbavu nini ni kampuni gani bora ya usafirishaji njia hizo kama sio Dar Express?na hayo mabasi ya huyo boss wenu mtayapanda wenyewe.
 
Kwa vyovyote vile iwavyo kufungia Dar Express na kuacha CHAKITO, DELUXE, HOOD, MOHD TRANS na yale mengine mengi ambayo week in week out utasikia yanapata ajali is ridiculous........

Hakuna mabasi yanayotoa huduma na uhakika wa usafiri kama Dar Express na hata ukitazama ajali zake chache zinazotokea utagundua sio kama za hii mibasi mingine

I smell something fishy kwenye kufungiwa kwa Dar Expr
 
Kwa maoni yangu binafsi, taarifa hii haiwezi kuwa sahihi. Haya ni majungu yenye lengo la kujenga fitna na chuki dhidi ya hiyo kampuni mpya.

Usafirishaji abiria hapa nchini unahusisha mabasi zaidi ya 1,000. Hivyo hicho kikamouni kipya na vibasi vyake 40 sio tishio mpaka wapike zengwe kwa Dar Express kufungiwa.

Kama kweli lengo la hicho kikampuni kioya ni kuweka kauzibe kwa makampuni mengine, zengwe hili lingepigwa kwa Sumry mwenye mabasi zaidi ya 100 yanayokwenda nchi nzima na nje ya nchi na sio Dar Express mwenye route moja tuu ya Moshi, Arusha!.

Sumatra wakifungia chochote, wanafunga kwa vigezo ambayo viko wazi na sio kwa majungu. Dar Express wanajua ukweli na kama wanajihisi wanaonewa, mamlaka ya rufaa ya Sumatra ni Baraza la Ushindani au waende mahakamani.

Wana jf wenzangu, ili kulinda hadhi ya jf kugeuka kijiwe cha fitna na majungu, habari kama hiza ambazo hazina mantiki ziwekwe kwenye jukwaa la jokes ili isomeke kama jokes.

Pasco,
Ndani ya Tanzania yetu hii, lolote linawezekana. Siamini kama jamaa anayosema ni ya kweli na wala sikatai pia. Kwasababu najua hizi regulation authority watu wakitaka pesa wanaweza kukufanyioa kitu gani!!
 
Kwa maoni yangu binafsi, taarifa hii haiwezi kuwa sahihi. Haya ni majungu yenye lengo la kujenga fitna na chuki dhidi ya hiyo kampuni mpya.

Usafirishaji abiria hapa nchini unahusisha mabasi zaidi ya 1,000. Hivyo hicho kikamouni kipya na vibasi vyake 40 sio tishio mpaka wapike zengwe kwa Dar Express kufungiwa.

Kama kweli lengo la hicho kikampuni kioya ni kuweka kauzibe kwa makampuni mengine, zengwe hili lingepigwa kwa Sumry mwenye mabasi zaidi ya 100 yanayokwenda nchi nzima na nje ya nchi na sio Dar Express mwenye route moja tuu ya Moshi, Arusha!.

Sumatra wakifungia chochote, wanafunga kwa vigezo ambayo viko wazi na sio kwa majungu. Dar Express wanajua ukweli na kama wanajihisi wanaonewa, mamlaka ya rufaa ya Sumatra ni Baraza la Ushindani au waende mahakamani.

Wana jf wenzangu, ili kulinda hadhi ya jf kugeuka kijiwe cha fitna na majungu, habari kama hiza ambazo hazina mantiki ziwekwe kwenye jukwaa la jokes ili isomeke kama jokes.

we unafikiri Pinda atakubali mabasi yake ya Sumry yafungiwe? Kama kweli Sumatra wangekuwa wametumia vigezo vya ajali basi wangeifungia Sumry ambayo mwezi uliopita mabasi yake kadhaa yalipata ajali na kuua watu kadhaa ndani ya wiki 1..
 
umbeya umbeya... ataweza kuzifungia kampuni zote za usafirishaji!

dar ex na kilimanjar hizo ni ndege za moshi to arusha nauli ni kuanzia 25000 hata habiria wakiwa nusu ya gari wenyewe ni mwendo.kamwe hatafanikiwa summry alikuja kwa mbwembwe lakni mwenyewe kafyta njia ya kaskazni
 
Labda tumkumbushe huu wimbo wa kitambo

MWANA ACHA WIZI – Juwata Jazz Band 1977 aka MSONDO

Majirani wenzangu,
Naomba mnisaidie,
Mkanyeni mwanangu,
Labda atakusikieni,

Nimemkanya aache wizi mwanagu kanishinda,
Labda nyie wenzangu mtaweza kunisaidia,

Asante ndugu, tutajaribu kumuelisha,
Kiasi cha uwezo wetu,
Huyu mwanetu.

Ewe mwana tulia, Tukueleze,
Tabia uliyonayo ya wizi haikufai,
Ulipelekwa shule , elimu umepata,
Ya kuweza kukusaidia
Kuliko kutaka utajiri wa harakaharaka.

(Kibwagizo)

Ehhe mwana hukusikia niliyokwambia,
Balaa kutuletea nyumbani
eeh mwana.

Wazee wenzagu pia walikuketisha chini,
Wengi walikueleza mwana acha wizi,
Nawe hukusikia ukazidisha vitendo vya wizi.

[Ngurumo]
Umevunja duka la Ushirika,
Bunduki imelia,(mama weeee)
Shaba yaingia mwilini mwako waona uchungu!

Leo uko taabani ,
Hospitali umelazwa,
Pingu ziko mikononi mwako mwanangu umefungwa!!

Ehee mwana hukusikia
Balaa kutuletea nyumbani
eeh mwana.

Wazee wenzagu pia walikuketisha chini,
Wengi walikueleza mwana acha wizi,
Nawe hukusikia ukazidisha vitendo vya wizi.
 
Na pia mchakato mzima wa kupata madereva umekuwa na zengwe kutokana na wakala alyekabidhiwa hiyo kazi, wakala huyo amepewa maagizo ya kutafuta madereva wanachama wa ccm tu. Tusubiri taarifa zaidi.
Tunaomba asiishie hapo tu aangalie pia UKANDA hao madereva wanatokea ukanda gani wa Nchi! na lazima wawe wanaovaa suruari za wadogo wao.
 
Kwa maoni yangu binafsi, taarifa hii haiwezi kuwa sahihi. Haya ni majungu yenye lengo la kujenga fitna na chuki dhidi ya hiyo kampuni mpya.

Usafirishaji abiria hapa nchini unahusisha mabasi zaidi ya 1,000. Hivyo hicho kikamouni kipya na vibasi vyake 40 sio tishio mpaka wapike zengwe kwa Dar Express kufungiwa.

Kama kweli lengo la hicho kikampuni kioya ni kuweka kauzibe kwa makampuni mengine, zengwe hili lingepigwa kwa Sumry mwenye mabasi zaidi ya 100 yanayokwenda nchi nzima na nje ya nchi na sio Dar Express mwenye route moja tuu ya Moshi, Arusha!.

Sumatra wakifungia chochote, wanafunga kwa vigezo ambayo viko wazi na sio kwa majungu. Dar Express wanajua ukweli na kama wanajihisi wanaonewa, mamlaka ya rufaa ya Sumatra ni Baraza la Ushindani au waende mahakamani.

Wana jf wenzangu, ili kulinda hadhi ya jf kugeuka kijiwe cha fitna na majungu, habari kama hiza ambazo hazina mantiki ziwekwe kwenye jukwaa la jokes ili isomeke kama jokes.
Mkuu sishangai tuhuma,najiuliza hiyo kampuni ya Ridhiwani kweli? Pengine angalia kwa jicho hilo!!
 
Na pia mchakato mzima wa kupata madereva umekuwa na zengwe kutokana na wakala alyekabidhiwa hiyo kazi, wakala huyo amepewa maagizo ya kutafuta madereva wanachama wa ccm tu. Tusubiri taarifa zaidi.

Hiyo hadithi yako bora iwe na ukweli ndani yake. Hata kama siwapendi magamba kutokana na matendo yao nisingependa kumchukia mtu/watu kwa sababu za maneno ya kuzushiwa.
 
SUMA wamewafungia Dar Express kwa kusababisha ajari 3 kati ya Jan mpka Oct
La kujiuliza hayo mengine kwa kipindi kama icho yamesababisha ajari ngapi?
Mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize kama sio mkono wa mtu au zengwe nini hasa kimesababisha jamaa wafungiwe?
 
Nyie ndio wale wale mnabisha vitu ambavyo vipo wazi kabisa sumatra wamewafungia dar express magari ya Arusha-Dar alafu unabisha,haya maswala ya kukurupuka mabaya sana.

hizi habari nimezipata juu juu sana, hebu wekeni habari yenyeye wakuu.

hapa nipo ndani ya basi la dar express!
 
Kwa maoni yangu binafsi, taarifa hii haiwezi kuwa sahihi. Haya ni majungu yenye lengo la kujenga fitna na chuki dhidi ya hiyo kampuni mpya.

Usafirishaji abiria hapa nchini unahusisha mabasi zaidi ya 1,000. Hivyo hicho kikamouni kipya na vibasi vyake 40 sio tishio mpaka wapike zengwe kwa Dar Express kufungiwa.

Kama kweli lengo la hicho kikampuni kioya ni kuweka kauzibe kwa makampuni mengine, zengwe hili lingepigwa kwa Sumry mwenye mabasi zaidi ya 100 yanayokwenda nchi nzima na nje ya nchi na sio Dar Express mwenye route moja tuu ya Moshi, Arusha!.

Sumatra wakifungia chochote, wanafunga kwa vigezo ambayo viko wazi na sio kwa majungu. Dar Express wanajua ukweli na kama wanajihisi wanaonewa, mamlaka ya rufaa ya Sumatra ni Baraza la Ushindani au waende mahakamani.

Wana jf wenzangu, ili kulinda hadhi ya jf kugeuka kijiwe cha fitna na majungu, habari kama hiza ambazo hazina mantiki ziwekwe kwenye jukwaa la jokes ili isomeke kama jokes.

Hapo kwenye red, sumatra wanadai mabasi ya dar express yamekuwa yakipata ajali za mara kwa mara. Kwa kumbukumbu zako wewe, hebu tupate mfano mmoja tu wa ajali mbaya waliyopata dar express mwaka huu. Sumatra hawawezi kutuambia eti kugonga boda boda moja ndio sababu ya kuwafungia dar express. Acheni uonevu nyie sumatra
 
Huu ni wehu na upuuzi tu wa maamuzi yasioeleweka!
Hayo magari yao watapanda magamba mafisadi
 
Kwa maoni yangu binafsi, taarifa hii haiwezi kuwa sahihi. Haya ni majungu yenye lengo la kujenga fitna na chuki dhidi ya hiyo kampuni mpya.

Usafirishaji abiria hapa nchini unahusisha mabasi zaidi ya 1,000. Hivyo hicho kikamouni kipya na vibasi vyake 40 sio tishio mpaka wapike zengwe kwa Dar Express kufungiwa.

Kama kweli lengo la hicho kikampuni kioya ni kuweka kauzibe kwa makampuni mengine, zengwe hili lingepigwa kwa Sumry mwenye mabasi zaidi ya 100 yanayokwenda nchi nzima na nje ya nchi na sio Dar Express mwenye route moja tuu ya Moshi, Arusha!.

Sumatra wakifungia chochote, wanafunga kwa vigezo ambayo viko wazi na sio kwa majungu. Dar Express wanajua ukweli na kama wanajihisi wanaonewa, mamlaka ya rufaa ya Sumatra ni Baraza la Ushindani au waende mahakamani.

Wana jf wenzangu, ili kulinda hadhi ya jf kugeuka kijiwe cha fitna na majungu, habari kama hiza ambazo hazina mantiki ziwekwe kwenye jukwaa la jokes ili isomeke kama jokes.

Kaka sasa naona kama kuna harufu ya chuki inayolipeleka Taifa pabaya sana, na mtoa hoja hapa anatuambia kaambiwa na dereva wa Dar Express, hii ni hatari sana na mwisho wa siku tutakua tunapoteza hata uaminifu kwa watu wetu. Inawezekana kukawa na tuhuma nyingi dhidi ya Riz lakini kumbebesha kila kitu ni kupunguza makali taarifa za kweli na itaonekana sasa yote ni majungu. Leo nilikua pale Shekilango zilipo ofisi za Mohamed Trans na Dar Express na mabasi yalikua yanapakia abiria na kuondoka kwenda Arusha na Nairobi. Hapo napo sijaelewa, ila hata kama yamefungiwa, hebu tuwe makini, ni Dar Express tu wanaofanya safari Arusha? Halafu kwanini isiwe Kilimanjaro ambao wanashindana na Dar express badala ya kampuni ambayo hata haijaanza kazi? Naanza kupata picha kwamba sasa Nape, Riz na Sitta watakua ajenda kuu ya kila uchafu ili kupotezea kung'olewa kwa watuhumiwa wa ufisadi. Tujenge hoja za msingi kuchochea mabadiliko. Ziko wapi thread kama za Richmond Saga? Ziko wapi kama za BoT EPA? Kwanini tunaendekeza na kushabikia udaku? Na wengine kuanza kutetea ufisadi ambao huko nyuma waliupiga vita?
 
mkuu kila mtu akianza kuleta habari za vijiweni hatuwezi kufika, isitoshe Riz 1 ana gari za kubeba mizigo sio abiria. binafsi juzi nilikuwa morogoro nikaingia hotelini tulikuwa na wateja wengine ambao niligundua kuwa ni wamiliki wa vituo vya mafuta na magari ya mizigo , walikuwa wanalalamika kuwa Riz 1 kawanyang'anya tenda zao. magari yao yamewekwa pembeni watu wanatumia ya riz 1 wakijaribu kuwa karibu naye
 
Back
Top Bottom