M mja JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 310 Reaction score 65 May 17, 2013 #2 oduko said: Click to expand... inabidi computer ziwe zinawageukia wateja
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,460 Reaction score 74,121 May 17, 2013 #3 Hii mbona ni ya kweli kabisa Hapo utaambiwa mtandao haupo kumbe mtu yuko Facebook mbaya zaidi mteja haoni chochote km kweli mtandao haupo...... Nchi za wenzetu nadhani wanaendelea kwakuwa mambo km haya yana muda wake.
Hii mbona ni ya kweli kabisa Hapo utaambiwa mtandao haupo kumbe mtu yuko Facebook mbaya zaidi mteja haoni chochote km kweli mtandao haupo...... Nchi za wenzetu nadhani wanaendelea kwakuwa mambo km haya yana muda wake.
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 568 May 17, 2013 #4 hahahaaaa mdada analike tu.....