ni kataika kuchangia pato la taifa... huku nguvu kazi ikipotea kwa speed kubwa sana,
Mwambie vingapi vya kenya wanavitumia tzkwani umeambiwa kwenye sokola Tanzania ndio hakiwezi kufika..?
ha ha a ahaha nachangia pato bado sijaacha.....sitaki kupiga kelele mimihivi umeacha sku hizi nn maana sion makelele yako ukiwa umejidunga
Hivi kwanini madereva wa boda boda ni walevi wa viroba?
sasa hivi wengi wamefunga hali ni shwari
Ila dini yao hairuhusu pombe... au shetani nae kafunga