Channel 10 Baragumu: Sheikh apotosha Ukweli

Channel 10 Baragumu: Sheikh apotosha Ukweli

KWELI.umenena/ Desturi za mazishi ya Zanzibar hayana tofauti na ta Mecca. HATA kuoa, bara badala ya posa wanaanza wazee kutongozana kwanza, kupelekeana barua ndani ikitiwa pesa. Ndio hata maana kuwa na kuwa na Mhakama kadhi hawaoni umuhimu wake lakini mahakama za kijadi zipo! Masheikh waislamu bara ni nivilemba na kupaka hina ndevu tu.
Hiki ulichoandika hapa ni sehemu tu ya udhibitisho ya ubaguzi uliopo huko, kuona nyie ni Waislam zaidi ya wenzenu wa bara.
 
Hebu tukaneni lakini msiingize ayat za quran kwenye matusi yenu.. Ni hayo tu napita..
Mkuu hapa tunachoongelea uchamungu, na ubaguzi, hiyo uliyoitaja haikosi kuhusishwa maana ndiyo mwongozo.
 
Back
Top Bottom