faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,725
Haina tabu wew pita tuNa hii inatokana na tamaa zenu vidume , bila kufikiri huenda huu uzuri ukawa wa mkakasi tu lakini ndani ni kipande cha mti .
Vile vile, Hamna hamna ndimo mliwamo.
Napita tu lakini .
Daaah kweli vice versa is true[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chinekeeeee....!!
Aseeeh wanawake wadumu daima tuzidi kuwakumbuka kwenye sala zetu kwa baba aliye juu. Tupewee nini sisi kama mizigo kama hii imeshuka kwa ajili yetuChinekeeeee....!!
Hapo unakuta mzembe anatumia kondom kuitafuna hiyo nyama...
Hapo mi niko radhi nife kishujaa...
Hehehehee naona straika Uhuru Kenyata anataka kudai uhuru wa kibaiolojiaAseeeh wanawake wadumu daima tuzidi kuwakumbuka kwenye sala zetu kwa baba aliye juu. Tupewee nini sisi kama mizigo kama hii imeshuka kwa ajili yetu
Cookie na invisible hawapo ni wasabato hao..
Halafu jana account imehakiwa aseeh
Huoni bi harusi kashikilia sehemu pendwa... Inaelekea anajua shughuli anayoenda kuipatahuyu bwana harusi hapana bwana
cha moto anaenda kukiona mwana kajipinda kufanya harusi gharama katumia kibao acha akajipongeza. Anakwambia anaenda kula tunda la mti wa katiHuoni bi harusi kashikilia sehemu pendwa... Inaelekea anajua shughuli anayoenda kuipata
Duh hii hatariHatujaribiwi.
Hatari kama nungwi nahodha sio kirikuu..Duh hii hatari