Chanikiwiti

Mshana unaroho mbaya kaka...

Umeshindwa hata kufanya hivi
Cc Daby
Cc Asprin

Kweli? Sitegemei hili kujirudia tena. Ama kweli umdhaniaye siye
Dah my apology kwa hili naahidi haitatokea tena[emoji3]
 
Swahiba uzi utafutwa kama ule wa siku ileeee... ila ninavyomboooo hapa natamani nivitoe sema uzi utafutwaa
Atakayeufuta mchoyo halafu ana wivu kushinda nyegere [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Niliwahi kuliona moja la hivyo pale Mass Club Mwananyamala sikuamini macho yangu kama kuna wanawake wa hivyo kama wa kuchora
 
Sifa ya kidume ni kutafuna na kuangalia ustaarabu mwingine ila huo mzik unaweza shawishika kutafuna twice ndio upotee sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…