Karibu uzaramoni mke unapewa bureeeeeeeeeeeeeee! Labda usitake mwenyewe tuuu.
ntakutafuta kaka ili unipe maelekezo namna y kupata hao wake wa bureeeeee wa kizaramo!c mchezo i like it!
Karibu uzaramoni mke unapewa bureeeeeeeeeeeeeee! Labda usitake mwenyewe tuuu.
Mwanaume bahili hivi hata umuambie alete mahari ya jogoo atasema linauzwa tshs 15,000 na hanazo.
sasa hata akioa atalisha mke huyu?
Itabidi wengine ndio wamlishe mkewe
mkuu wataalam wanadai hawa huwa hawana stress km kuwa na gf.inataka moyo jamani,kuokota tu mtu,kisa mchezo.na dudu zenu zinasimama kabisa na wasiwasi mnakuwa hamna.kweli kuna raha hapo,au ndio mradi umwage tu?mimi naona kama uchafu maybe ni ushamba wangu
Mie, Jana nimeibiwa 32000 can hamu naoooo.... Pole wangu tupo pamoja, ila wa concord kidogo waaminifu
Hahaaa! mkuu nilikuulizaga kama unatimbaga mitaa ya villa park na vitunguu/makoroboi ukabisha! leo umeingia mkenge mwenyewe, chezea huduma ya pombe manyoya kwa buku jero weye?
Na ukibisha tena Kaka ipo siku nitakubamba live huwa nazungukaga na difender pande hizo mida ya night
nimepata mke jamaa yangu, habari hizi siludi tena humu
Nielekeze vizuri ndugu yangu maana niliwahi kwenda mahali nikaambiwa nitoeKaribu uzaramoni mke unapewa bureeeeeeeeeeeeeee! Labda usitake mwenyewe tuuu.