Changudoa kaniibia, nashindwa jinsi ya kumshitaki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changudoa kaniibia, nashindwa jinsi ya kumshitaki.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee wa kurekebisha, Oct 27, 2012.

 1. Mzee wa kurekebisha

  Mzee wa kurekebisha Senior Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mara kwa mara nimekuwa nikipata huduma zao kwenye madanguro ya Temeke, Tandika na Sokota nilikuwa sijawahi kwa wale wanaosimama barabarani. Juzi nikaamua kujaribu huduma zao. Ah, hawafai kabisa wale wengi wao ni wezi nawashauri wadau wenzangu ambao mara nyingi tunakutana lakini mukiwa hapa jukwaani mnajifanya hampo yaani si wadau lakini mnapenda tun kujua habari za madanguro ni hivi kuweni makini sana na wale wanaopatikana KIMBOKa ni wezi halafu huduma zao wanapenda vichochoroni.

  NB: Wapo wanaotaka kujua kwanini nimekuwa naenda huko mara kwa mara
  SINA FEDHA YA KUOLEA, SINA FEDHA YA KUHONGA WAREMBO MTAANI
  NIFANYEJE DAMU INACHEMKA?
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Je nawe ni changudoa au? Mwanangu tumia akili yako. Umeshindwa kufikiri hata juu ya usalama wako? Kama huna pesa ya kuhonga hao changu unawapa nini? Tazama wamekuibia hiyo pesa unayosema huna/Hapa ni suala la kutumia akili vizuri mwanangu. Uchumi unao ila unaukalia tu.
   
 3. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mie, Jana nimeibiwa 32000 can hamu naoooo.... Pole wangu tupo pamoja, ila wa concord kidogo waaminifu
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Chukua tahadhari ya kuficha vitu kabla su nenda guest house!!
   
 5. Mzee wa kurekebisha

  Mzee wa kurekebisha Senior Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mimi sio changudoa nafuata huduma kwa sababu ni nafuu kuliko mtaani.
  Huku mtaani utatakiwa kulipia gesti 5000 - 15,000 lakini pale Temeke 3000
  ni kila kitu mpaka Kinga.
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huo ndiyo uchangu wenyewe. Nao wanatafuta bei nafuu sawa na unayotoa mwanangu Mzee wa Kurekebisha.
   
 7. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jina lako na tabia zako haziendani,zinaa ni deni ogopeni mungu,jua kabisa ukizini sawa na umekopa lazima ulipe kwa hiyo faham kuwa lazima uje uziniwe na wewe! Iwe mwanao,mkeo,dada yako,
   
 8. a

  alex50 JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45

  Wa vichochoroni huwa wana vibwana wao pembeni, wanaweza kukuibia/kukubaka. badilika na ujirekebishe mzee wa kujirekebisha
   
 9. h

  hacena JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  huyu jamaa anatangaza biashara
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  poleni sana
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Abiria chunga mzigo wako.
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Karibu uzaramoni mke unapewa bureeeeeeeeeeeeeee! Labda usitake mwenyewe tuuu.
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  pole Mzee wa kurekebisha ulidhani unarekebisha kumbe nawe wanakurekebisha!!!!

  Kiukweli wanawake malaya kama umenizira unatakiwa uwe macho kama askari magereza anavyochunga mfungwa asitoroke vinginevyo ndiyo hayo majuto ni mjukuu.

  Mwisho cheap is expensive.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kama wangu nilipata bureeeee! si unamuona mwenyewe.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hivi mishahara imeshatoka eeh? Una mahela, umekuwa handsome ghafla
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mwanaume bahili hivi hata umuambie alete mahari ya jogoo atasema linauzwa tshs 15,000 na hanazo.
  sasa hata akioa atalisha mke huyu?
   
 17. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 0
  Hilo danguro la sokota lipo maeneo gan? Em nipe raman mkuu niifanyie kaz
   
 18. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Unachotakiwa kufanya sasa na wewe ni kwenda kumchukua tena huyo malaya au rafiki yake mwambie nataka long time mpaka asubuhi halafu tafuta gest ya kwenu ukishamlala asubuhi unamwambia sina kitu unampa nauli tu na hela ya supu au mnampiga mande usiku huo huo.
   
 19. m

  matengele Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeyataka mwenyewe kaka na hayo ndo matokeo yake!waswahili wanasema vya bure gharama!kuwa makini sana siku nyngne watakuibia mpaka nguo na utambea uchi!
   
 20. m

  matengele Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeyataka mwenyewe kaka.angalia sana siku nyingne watakuibia mpaka nguo na utatembea uchi.waswahili wanasema vya bure ni ghali ndo kama yaliokupata!
   
Loading...