- Thread starter
- #21
ni wale shivaz jero jero wa chuga! pia ukapime hiv mkuu,
Acha ushamba. Kuna condom. Kama kuna mwanaume asiyetia malaya dunia hii atakuwa ***** au ana matatizo. Kumbuka hata watu safi kama tiger wood wanatia machangu. Na kwa uzoefu wangu kila safari za serikali tunapokua nje ya nchi au mikoani hakuna mwanaume rijali asiye kamata malaya huko awe mzee, ameoa au hajaoa. Si waziri, mbunge, dereva. Hii nakumwagia siri ndo hali halisi. Nawasikitikia wanawake wanaoachwa majumbani wakiamina the opposite.