Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
ha ha, what an experience. Uje ujaribu na kunywa nusu dozi ya viagra, inaua mzigo kama nini.
Umenichekesha sana.
Ndio ukome!!!
nakumbuka miaka sita iliyopita,nilizinguana na mwandani wangu,nikaona isiwe tabu,nikajikongoja mpaka sudani(temeke),nikaingia kwenye uchochoro wanakokaa dada zetu wale,baada ya kupita mara ya kwanza na kuchunguza kwa makini nikamuona ambaye angenifaa.mi huyoo,nilipokuwa narudia kupita nikazama chumbani mwake,(alikuwa amekaa mlangoni kwa nje),nae akanifuata,akafunga mlango.tukakubaliana buku 3.nikalipa.ukizingatia wasi wasi niliokuwa nao,uoga na mawazo kibao nikihofiangoma na mengineyo,"mzee"akagoma kusimama,mdada wa watu kajaribu wee mpaka akashangaa kwanini mzee hasimami.alipoona hakuna matumaini akanigeuka,akawa mkali na kunifukuza eti nampotezea muda,nilipomwambia anirudishie pesa yangu kwa kuwa sikufanikiwa "kuitumia",mdada kaanza kuongea kiruga,nikaanza kuona watu wamejaa mlangoni,(inavyoonekana alikuwa akiwaita wenzake),nikaona isiwe tabu,nisije nikadhalilishwa bure kwa kipondo,nikafungua mlango nikasepa...
hiyo ndo ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kuingia kwenye danguro na kujaribu kuchukua dada poa sehemu yoyote ile!!!
nimeconfess ila waifu hatajua!!!
iyooo..aise wewe urienda kwa ware dada zzangu pale mitaa ya naniliu?...! ofukozi una moyo buraza, tena roho ya nyau kabisaa!
Kwa wahaya!
Ukome na ukomae
mkuu nilikuwa natafuta huduma mkuu,lakini ikanitokea puani,
Tabora walipatikana Mwanza road. Dodoma barabara ya nane. Tanga ni Mabawa. Dar ni Livingstone na Mwananyamala plus Sudan. Moshi ilikua Dsm road Bongolala malizia
Itakuwa alikuwa Mhay.a, nasikia ndo kazi yao hao , samahani kama kuna mtu aliyejihisi!nakumbuka miaka sita iliyopita,nilizinguana na mwandani wangu,nikaona isiwe tabu,nikajikongoja mpaka sudani(temeke),nikaingia kwenye uchochoro wanakokaa dada zetu wale,baada ya kupita mara ya kwanza na kuchunguza kwa makini nikamuona ambaye angenifaa.mi huyoo,nilipokuwa narudia kupita nikazama chumbani mwake,(alikuwa amekaa mlangoni kwa nje),nae akanifuata,akafunga mlango.tukakubaliana buku 3.nikalipa.ukizingatia wasi wasi niliokuwa nao,uoga na mawazo kibao nikihofiangoma na mengineyo,"mzee"akagoma kusimama,mdada wa watu kajaribu wee mpaka akashangaa kwanini mzee hasimami.alipoona hakuna matumaini akanigeuka,akawa mkali na kunifukuza eti nampotezea muda,nilipomwambia anirudishie pesa yangu kwa kuwa sikufanikiwa "kuitumia",mdada kaanza kuongea kiruga,nikaanza kuona watu wamejaa mlangoni,(inavyoonekana alikuwa akiwaita wenzake),nikaona isiwe tabu,nisije nikadhalilishwa bure kwa kipondo,nikafungua mlango nikasepa...
hiyo ndo ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kuingia kwenye danguro na kujaribu kuchukua dada poa sehemu yoyote ile!!!
nimeconfess ila waifu hatajua!!!
mkuu nilikuwa natafuta huduma mkuu,lakini ikanitokea puani,