Serikali itatuzoea, jambo la msingi ni kujenga hoja za kuibana serikali iwahudumie watu hawa mambo ya kuchangishana kila cku wataona ndo mpango mzima kuwapiga piga raia wasio na hatia then hao hao raia wanyonge tuchangishane kutibu majeraha. Ni upuuzi na inauma sana.