Changia Mabadiliko Chalinze

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Wapenda mageuzi na mabadiliko ya kweli ningependa kuwashirikisha katika uchaguzi mdogo wa ubunge chalinze utakaofanyika Chalinze tarehe 6th-April 2014. Lengo kubwa ni kufikishia ujumbe wanachalinze kuwa nchi yetu haina mfumo wa kurithishana madaraka (chiefdom).
Iwapo Rais JakayaKikwete licha ya kuwa mbunge na waziri katika kipindi cha miaka 15 na rais miaka 8 sasa-wanachalinze bado wamechoka shida za maji, elimu na ardhi bado wanazo, itakuwa ajabu Ridhiwani kuweza wasaidia. Wale wanaoweza kuja Chalinze karibuni kwenye kampeni ila wale mlio mbali basi manweza kuchangia kusaidia kampeni kwa kupitia nambari hii 0765 076788 Michango yenu itawasilishwa kwa katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na - Maendeleo Tarehe 31 March 2014.
Michango hii itasaidia kuwapa elimu ya Uraia wanachalinze. Ukombozi wowote ni gharama ewe mwanamtandao jione sehemu ya mabadiliko..
CC: Mikael P Aweda Mohamedi Mtoi Kiranja Filipo Mgafilika Tuko mwita
Mwita Maranya, TUKUTUKU, Yericko Nyerere, Angel Msoffe, Nicas Mtei, Phillemon
Phillemon Mikael, TUMBIRI, Mungi, only83, Molemo, shardcore, Tumain Makene, MTUMISHI
Mtumishi Wetu, SEBM, Benaire, stoneman, Arushaone, LiverpoolFC, DALLAI LAMA, Ben
Ben Saanane, Froida, ntamaholo, Rasib, Nanyaro Ephata, Imma Saro, @Curriculum Specialist, Exaud Mamuya, maphie, olevaroya, LOMAYANN, MNYISANZU, cacico, DAUDI
Mchambuzi, kapotolo, Mungi, sweetlady, SHARKS,


Ni takuwa na weka update kwa yoyote aliyetoa kama utapenda kuficha jina kwasababu zako..nijulishe...
Michango ya awali






UPDATE:
Mungu anazidi kutubariki...
Masanilo - 20,000/= Teamo - 20,000/= muonamambo - 30,000/= mtafutano - 26,000/= zumbemkuu -30,000/= George - 30,000/= Mungi - 20,000/=, Filipo - 21,000/=, LSK - 21,000/=, socrates - 15,000/=, Petro mselewa - 20,000/=, Sebm 20,000/=, CM - 10,000/=, GM - 10,000/=,Crashwise -20,000/= Elizabeth - 9000/=, Dark City -30,000/=....
Asanteni wote mliotoa na wale mliokuwa na nia ya kutoa lakini mlishindwa kutokana na sababu mbalimbali....
Zoezi Limefungwa leo tarehe 3/4/14 saa 1329
 
Pamoja sana kamanda, tutachangia bila kuchoka... Mabadiliko huletwa na wanyonge, waliochoshwa na mafisadi, wauza unga
 
Nasikia kuna kata mtoto mwenye nchi alienda kuhutubia alivyofika akagoma eti kisa jua linawaka na hakuna hema, daaah... Nmejiuliza sana nikakosa majibu.... Wapiga kura wasimame juani afu yeye ahutubie akiwa kivulini khaaa.... Hii ni dharau ya hali ya juu kwa watu wa chalinze
 

Kata ya Lugoba
 
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?
 
wewe mini-kabang (lema) na mleta mada mnafanana upeo wenu, ila kwa hili la kuchangisha lazima Lema aje charinze hapo mmemkuna penyewe mpiga deal.
 

Mnaomba michango huku mnasindikiza thread na porojo za hapa na pale.
 
wewe mini-kabang (lema) na mleta mada mnafanana upeo wenu, ila kwa hili la kuchangisha lazima Lema aje charinze hapo mmemkuna penyewe mpiga deal.

Waache wapenda mabadiliko wachangie, kaa pembeni... Endelea kulamba viatu vya riz1 huko
 

Kuthibitisha mambo mawili muhimu ktk maisha ya wanadamu ambayo Jk pamoja na kuwa mbunge miaka 15, kina Bwanamdogo marehemu kina kawambwa angalia matatizo ya maji na elimu ilivyo jimbo hilo. Ni baadhi tu ambayo picha zake mziangalie, ni ajabu mtoto wa JK eti atatatua matatizo haya,
 

Attachments

  • 1395673367847.jpg
    43.7 KB · Views: 218
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…